Na mim natafuta mukazi wange SERIOUS….

Hii inafurahisha sana nimesoma vigezo hadi nimefurahi, haya jamani tenda hiyoooooooo! Mimi tayari na iko na 5 years sasa ningekuwa bado ningetuma maombi.
 
Bado tu hujapata? haupo siriaz wewe.

oooh, nko very serious................. yaani ninaposema bado moja namaanisha kuwa nimetoa nafasi moja zaidi kabla ya kufunga kupokea zaidi ili nihangaike na hizi nilizonazo wakati wa weekend, jumatatu naleta matokeo jamvini....................
 
Haya bana tunasubiri matokeo hiyo j3.Afu wewe kama nakufahamu vile? una ID nyingine? sore lakini hili swali la kizushi tu.
 
duh!!!!! pole zake huyo mzee aliyeingia kichwakichwa huko beijing.................. yaleyaleeeeeeeeeee ya kulowekeana vitasa......................
Wakati anafanya hizo shuguli na tabasmu pana mdomoni halimuishi, he is enjoying his marriage life.
 
Haya bana tunasubiri matokeo hiyo j3.Afu wewe kama nakufahamu vile? una ID nyingine? sore lakini hili swali la kizushi tu.

mambo kama haya ni ya PM.................. hebu niPM unijulishe hiyo nyingine...............
 
Huyo Sista Sophia vp hakufai akina Sofia siku zote wana sifa zao nyingi sana kikubwa upole na unyenyekevu.
 
Wakati anafanya hizo shuguli na tabasmu pana mdomoni halimuishi, he is enjoying his marriage life.

haya bwana hilo limbwata la beijing (la kichina) silu likiexpire!!!!!!!!!! mtarudi hapahapa jamvini kuomba ushauri............... mi simo...............
 
Huyo Sista Sophia vp hakufai akina Sofia siku zote wana sifa zao nyingi sana kikubwa upole na unyenyekevu.

matokeo j3................ lakini nyepesinyepesi ni kuwa midume kama mitatu hivi imegundulika kujifanya midemu na kuchezea hali ya hewa na imeishapigwa chini............ be careful bro................
 
Mungu wangu!ivi nilikuwa wapi vile?c tumekubaliana tayari na jana nimekusamehe?leo unatafuta mchumba?mbn unanifanyia hivi?nimekukosea nn?naomba nisameheAM REAL SOORY MY SWTY POTATO,SUGAR BANANA,MY WEREVA WENEVA,MY VALENTINE,MY LOL POP,MY CHOKLET PLZ.I LOVE U
 
Ngoja tumwambie bi. KIDUDE maana alikua anatafuta mwanaume wa kuishi so subiria tu kijana
 
Mungu wangu!ivi nilikuwa wapi vile?c tumekubaliana tayari na jana nimekusamehe?leo unatafuta mchumba?mbn unanifanyia hivi?nimekukosea nn?naomba nisameheAM REAL SOORY MY SWTY POTATO,SUGAR BANANA,MY WEREVA WENEVA,MY VALENTINE,MY LOL POP,MY CHOKLET PLZ.I LOVE U

mmmnh!!!! u forgot ...my whatever:mad:
 
Mungu wangu!ivi nilikuwa wapi vile?c tumekubaliana tayari na jana nimekusamehe?leo unatafuta mchumba?mbn unanifanyia hivi?nimekukosea nn?naomba nisameheAM REAL SOORY MY SWTY POTATO,SUGAR BANANA,MY WEREVA WENEVA,MY VALENTINE,MY LOL POP,MY CHOKLET PLZ.I LOVE U

my dear pearl................. uchicheme ivo sweet utanitoa machozi................ lol udenda ushaanza kutoka..................... unajua dear............ ah............ twin wako ndo alinambia najihangaisha tu............... we mwenyewe wala.............. huna mpango na mimi................. thatha niPM bath tufunge kabitha na hizi aplikesheni............. very sory sweet heart........... nichamee mukazi wange to be................ luv you sanaaaaaaaaaaaaaaaa.................. ah............ i want to cry...........usinizibe mdomo............... usinizibe mdomooooooooooooo.................
 
nilikuwa na hasira kwa jinsi alivyonifanyia bana plz niombee msamaha yapo cjamkosea

pearl nshakuchamee jamani niamini basi upunguze hasira................... ni bht ndo kaniingiza mjini................. usijali mi thatha nalidiliti li sredi nimemrudia barafu wa moyo wangu.................. luv you saaaaana........................ psyuuuuupssss...............mwaaaaaaaaa.................. sasa ivi naenda zangu kukutafutia nyama ya kasuku.......................
 
Back
Top Bottom