Na mim natafuta mukazi wange SERIOUS….

Bora kwanza ulivoamka,

Unajua, usingekuwa Mwandishi, nisingehangakia kutaka kuona vinavoonekana na visivyoonekana, sasa hebu niambie nimeangalia sana Annina?

Asante Kaizer, unajua mambo mengine huwa yanatokea ili neno litimie... naona sasa yametimia! Usihofu, hujaenda mbali sana...

Annina
 
Jamani niko serious, nasaka mchumba………..naona upweke sasa unataka kunitoa roho………………
Sifa
1. Awe mwanamke (sihitaji ma-BWABWA)
2. Awe tayari kwa ndoa ya kikristo (asahau kabisa mambo ya beijing)
3. Umri – wa serikali na kuendelea
4. Kiburi na suala zima la tabia kwangu sio issue, nina uhakika nitaweza kmdhibiti na asifurukute
5. Elimu-yoyote (ili mradi awe trainable, nitamu-upgrade hadi anapoweza kufika)
6. Kazi -si kigezo, mi ni mwanume halisi, (sio wale anaoimba jDee kuwa kama mabinti)
Ndoa hii haitaweza kuvunjwa isipokuwaa tu kama atatoka nje ya ndoa. Makosa mengine yote yatavumiliwa na kushughulikiwa kadiri itakavyoonekana inafaa

Nitafurahi kama mwombaji atakuwa tayari kufunga ndoa mwaka huu na kuja tuishi huku majuu. Mimi ni mwanmume wa uhakika, ninaweza kuishi na familia popote hapa duniani raha mustarehe, kwa hiyo asihofu kubeba mabox

Wale nilikwishapishana katika maisha nao wanaruhusiwa kure-apply kama bado wako interested kwani safari hii nafunga pazia jumla……………

Mtoto mzuri pearl and other JF singles are highly encouraged to apply

Matokeo ya zoezi hili yatatolewa baada ya mashauriano na mchumba mteule………………… (kama hatakuwa tayari kutangazwa, basi tutauchuna)…………….

Maombi yote yatumwe kwa private messege (PM) tu……………

Hapa napo mmmh, kuna tangazo fulani liliwahi kutolewa hapa kuwa wenye kutafuta wachumba wanaweza kuchungulia www.wabongomeet.blogspot.com Labda mkuu ungejaribu kule pia uone bahati yako iko wapi.....
 
Back
Top Bottom