Na kwenu kuna mgao?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Jamani huu mgao utaisha lini vandugu? Shuguli zangu hutegeme umeme lakini kwa hali ilivyo naweza kuingi manzese au kwamtogole kwenye fani yangu ya zamani (ngeta)
 
kwetu mgao upo tena tuna ratiba mbili za kukatika umeme kwa siku, ratiba rasmi ya saa2 asbh hadi 12 jioni, au 12 jioni hadi 5 usiku. Na kuna ratiba isiyo rasmi, hapo hukatika saa 7 usiku hadi 12 asbh.
 
kwtu balaa kwanza hakuna muda maalum wakiamua
tu kata du nshazoea yaaani umeme ukiwepo nashangaaga sana
 
Back
Top Bottom