Na hii ya viongozi wa UWT je?

mutua12

Member
Aug 20, 2008
39
2
mwenyekti wa uwt Sofia Simba ametangaza safu ya viongozi (wajumbe) wanzake 5 watakao fanyakazi nao ni:-

Hawa ghasia
shamsha mwangunga
zakia megheji
zainabu shomari
thureya abdala

kamati ya utekelezaji
pamoja nahao hapo juu ni
lucy mayenga
fatuma toufiq
subira mohamedi
fatuma hamza
wengine ni
lediana mn'gon'go
asha abdala
zainabu omari

je hapo usawa kweli umezingatiwa?
 
kama majina ndiyo dini, basi wakristo wawili tu, ama unataka nini kijadiliwe?

Halafu amenyanyasa wanaume, hakuna hata mwanaume mmoja wakati mwanamke alitoka ubavuni kwa mwanaume, hivi kweli wanaume hatuwezi kumsaidia kazi za ofisini
 
Ulaji unamfuata aliyenacho.Kumbe Meghji naye yupi nilijua kwa madudu aliyoyafanya ya kumficha RA hatajihusicha na chochote zaidi ya kulea familia yake.
 
mwenyekti wa uwt Sofia Simba ametangaza safu ya viongozi (wajumbe) wanzake 5 watakao fanyakazi nao ni:-

Hawa ghasia
shamsha mwangunga
zakia megheji
zainabu shomari
thureya abdala

kamati ya utekelezaji
pamoja nahao hapo juu ni
lucy mayenga
fatuma toufiq
subira mohamedi
fatuma hamza
wengine ni
lediana mn'gon'go
asha abdala
zainabu omari

je hapo usawa kweli umezingatiwa?

Ni mbaya kuliko, inamaana ktk UWT wenye sifa ya kuongoza ni hao waislam hakuna wanawake wa Kikristo wanaoweza kuongoza UWT?
 
hahahah du hiyo safu ni ya kubebana na kulindana hakuna jipya hapo....wote kalas...tokea huyo Mnykiti wao hadi mjumbe wa mwisho wote zero tu
 
Garbage in garbage out!! Mara nyingi mtu YEBO YEBO akipata madaraka hawezi kuwateua watu wenye akili kumzidi kwani watamoutshine kwahiyo atakuwa na wapambe wajingawajinga tu ambao hawawezi kumpandisha presha; kwahiyo msishangae kwa hao wa uwt ndio watu wa staili ya muungwana.
 
Halafu amenyanyasa wanaume, hakuna hata mwanaume mmoja wakati mwanamke alitoka ubavuni kwa mwanaume,

Amenyanyasa wanaume kivipi? Unataka mwanaume UWT?

hivi kweli wanaume hatuwezi kumsaidia kazi za ofisini

Wanaume tunaweza kumsaidia kazi za ofisini, kwa ulimwengu huu wa sayansi na teknologia, kazi zimekuwa chache hivyo wanawake inabidi wabebe majukumu makubwa.
 
Huu ni UDINI mtupu hamna ubishi.

Ndani ya UWT-CCM kuna wamama wenye uwezo mzuri tuu kuliko hao vilaza wote hapo juu.

Nilisema mapema,JK anafanya kila awezalo kuhakikisha waislamu wanashika hatamu ya hii nchi.

Yetu macho na masikio,Jibu tutakupeni 2010.
 
Dawa ya kuwaonyesha waislamu tumewachoka ni GENERAL election tuu.

Wakristo amkeni acheni kukubali kuburuzwa buruzwa,enough is enough,
Uchaguzi mkuu unakuja tuwaonyeshe nasi tusivyofagilia upuuzi wao,eboooooooooooooooooooooooo.
 
Garbage in garbage out!! Mara nyingi mtu YEBO YEBO akipata madaraka hawezi kuwateua watu wenye akili kumzidi kwani watamoutshine kwahiyo atakuwa na wapambe wajingawajinga tu ambao hawawezi kumpandisha presha; kwahiyo msishangae kwa hao wa uwt ndio watu wa staili ya muungwana.

wenzetu wakipewa madaraka wanawatafuta watu wenye uwezo kushinda wao ili wawasaidie kazi.Angalia enzi za Tony Blair na Goldon Brown kwa mfano.Lakini sisi tunachagua watu wenye uwezo mdogo kuliko sisi kwa kuogopa kufunikwa kiutendaji,ili tuwaburuze bila kupata changamoto yoyote.Mkapa na Sumaye kwa mfano.Angalia sasa serikali ya Kikwete mtu mchapakazi kama Magufuli anahamishwa hamishwa huku na kule ili utendaji wake usionekane na kuharibu sifa za wakubwa.
ndiyo maana hii nchi haitakaa iendelee mpaka siku ya mwisho ya dunia!
 
Dawa ya kuwaonyesha waislamu tumewachoka ni GENERAL election tuu.

Wakristo amkeni acheni kukubali kuburuzwa buruzwa,enough is enough,
Uchaguzi mkuu unakuja tuwaonyeshe nasi tusivyofagilia upuuzi wao,eboooooooooooooooooooooooo.
Msije mkajaribu kwenda kwenye uchaguzi na bango la dini ,msijaribu tena futeni fikra hizo ,hivi hamfahamu kuwa wanaofuata dini ya kiislamu ni wengi kuliko wanaofuata dini ya kikiristo.
Halafu jambo jingine ni kuwa katika ukiristo kuna Wakatoliki ambao siasa zao ni kuwa wao ni bora kuliko wakiristo wengine hata katika mambo ya kikiristo hilo wanalielewa na kuna kupingana kwa wazi kabisa ,WaKatoliki wanataka kuwatawala au kuwa juu ya wakiristo wengine ,na ukiristo hauwezi kuweka usawa juu ya wakiristo wengine hizo ni sera za Wakatoliki zinajulikana wazi kuwa wao ndio bora kuliko wengine na lazima wawe juu ya wengine kwa kila kitu.
Uchaguzi uliopita ilikuwa bado kidogo tu waislamu wasimpe kura Sultani CCM ,chupuchupu salama CCM wakampata Kikwete lakini kama angekuwa mkatoliki basi ndio ungekuwa mwisho wa Sultani CCM,na vilevile wizi wa kura ndio uliomsaidia Sultani CCM kubaki madarakani.
 
I hate them,na wanalitambua hili.

Njia za kuwamalizeni zipo nyingi,tukishindwa kabisa tunakufa wote(how????=Jibu unalo)
 
mkombosi.. I think Islam has a 'clause' about dying with the enemy so utakuwa unawasaidia kama utataka kufanao. In this matter, Sofia Simba is not very smart and I dnt think she is much of a Muslim anyway! Lakini with every day I see more more why Religion is really a CANCER.. it turns reasonable men and women into FOOLS! Nyie watoto wawakulima wakiafrika tangulini mkaanza kuongelea kuchukiana na kuuna kisa eti dini za waarabu na wa yahudi? Only religion could blind a man in such a way.lol

P.S I am a muslim so the 1st thing I would do is cut off your head you infidel.. and if you kill me I get 70 virgins so u still lose you Dog! haha DO u see how stupid that sounds. Jamani tuacheni ujinga. Tuwe watanzania. China imeondokana na huu ujinga wa dini ndio maana wako mbali. Tunajifanya dini hizi zilikuepo tangu sijui lini wakati tumeletewa juzi juzi tuu along with mijeledi na minyororo. Dini haisadii chochote in the scheme of things kama inasababisha mkatane vichwa na kuchomana moto kwenye inquisition.. GOD is Love! SO yee who hate thy neighbour are not like HE who LOVES.

I Hate no one :)

(I'll simply chop the heads of infidels and smile as I do it..lol joking)
 
Back
Top Bottom