Elections 2010 Na hii ya ridhiwani kukataa kupafahamu la kairo hotel mnalionaje?

MWANASHERIA

Member
Aug 20, 2010
84
11
hili pia limenishitua....... Ridhiwani akijibu hoja kwamba yeye hakuhusika kwenye kikao cha la kairo hotel, alisema hajawahi hata kufika kwenye hiyo hotel, kisha akaongeza kwamba "kahotel kenyewe kadogo, hata siioni sehemu kwenye hiyo hotel ambayo wanaweza kukaa vigogo 30 watu wasiwajue" hii jamani si inamaanisha anapafahamu? Watu wengine bwana uwezo wao wa kufikiria mdogo....... Si ajabu wliagiza na sato wa kuchoma na ndizi, haoooooooo!!!1
 
Mtaumiza kichwa bure tu.
Hawa jamaa wanafanya lolote wanalolitaka na hakuna wa kuwababaisha.
Hii ndio Tz bana.
 
hili pia limenishitua....... Ridhiwani akijibu hoja kwamba yeye hakuhusika kwenye kikao cha la kairo hotel, alisema hajawahi hata kufika kwenye hiyo hotel, kisha akaongeza kwamba "kahotel kenyewe kadogo, hata siioni sehemu kwenye hiyo hotel ambayo wanaweza kukaa vigogo 30 watu wasiwajue" hii jamani si inamaanisha anapafahamu? Watu wengine bwana uwezo wao wa kufikiria mdogo....... Si ajabu wliagiza na sato wa kuchoma na ndizi, haoooooooo!!!1

Halafu ukitilia maanani kuwa mbunge mteule wa Rorya ndiye mmiliki wa Lakairo Hotel.
 
hii hoja ya ridhiwani haina mashiko! sidhani kama naye anaqualify kuwa kigogo! urais wa babaye una ubia naye? watz wamemchagua babaye huyu bwana mdogo kaingilia wapi?
 
By the way,who is Ridhiwani in this country?

Piece of scrap n nasty!!!!
 
Babake mwenyewe Mwongo unategemea yeye aseme nini?

Katika mazingira ya kawaida Ridhiwani amejifunga mwenyewe, mara hoteli yenyewe haijui, Mara Hoteli yenyewe haina uwezo wa kuingiza watu 30.
 
Yani hata ingekuwa mtu mwingine angeingia ikulu basi haya haya yangesemwa.

Tuachane na pumba hizi na tusonge mbele tuna mambo mengi sana ya msingi kuongelea na si huu uzushi na uchonganishi hapa.

Usitafute umaarufu kwa kumchafua mwenzio. Huo ni ushenzi na Ufedhuli
 
Wengine washakuwa wachafu tangu zamani!!!
 
hili pia limenishitua....... Ridhiwani akijibu hoja kwamba yeye hakuhusika kwenye kikao cha la kairo hotel, alisema hajawahi hata kufika kwenye hiyo hotel, kisha akaongeza kwamba "kahotel kenyewe kadogo, hata siioni sehemu kwenye hiyo hotel ambayo wanaweza kukaa vigogo 30 watu wasiwajue" hii jamani si inamaanisha anapafahamu? Watu wengine bwana uwezo wao wa kufikiria mdogo....... Si ajabu wliagiza na sato wa kuchoma na ndizi, haoooooooo!!!1

Inawezekana baada ya kupata tuhuma hizo aliuliza kwa watu anaowafahamu wamemweleza mazingira ya eneo analoambiwa alikuwa na kikao na vigogo. Kimsingi kabla mtu hajajibu tuhumu anaweza kupata ushauri kwa watu wake wa karibu na ndio wakamweleza kwamba mahala penyewe mnapotuhumiwa kukaa hapafanani na kikao cha siri cha vigogo. pengine pako wazi sana kuweza kuhimili kutunza siri za kikao.

Kujua kwamba mbuga ya mikumi ina simba na chui si lazima kufika unaweza kuwa umesikia kwa watu. Naona hoja yako sio ya msingi kwamba alijuaje hotel japo simtetei kama ni kweli alikuwa na kikao cha namna hiyo.

Tuendelee kueleweshana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom