...Na Hii Nayo Maana Yake Nini???

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Ndugu zangu sielewi hii kitu, na nimekuwa najiulza sana, eit Raisi wa Nchi Kulakiwa........
ma5.jpg
 
nikifanya kauchambuzi kadogo tu ni kwamba hawa wote na wengine wasioonekana picani wameenda na magari na hii hutokea hata Rais akienda Kenya tu............................

ma6.jpg
 
Angalia pia hilo zulia........hivi unaweza kukisia gharama zake hadi linatandikwa hapo chini na baadae kuondolewa???? nawaza kwa sauti tu
 
Dhaifu at work,hicho kibabu kimeacha kutembea na mikasi mfukon nowdays? Au wamembadilishia role from mzee wa uzinduz to usher!
...angalia vizuri kwenye mfuko wake wa shati................jasiri haachi asili
 
Mafuta ya misafara kwenda kumlaki rais akitoka kutaliii oman....hapo ndo utajua watz wengi kwanini tutaendelea kuwa maskini.
 
Kama maigizo ya bongo movie vile.
Ndenge ilivyoonekana tu angani wakambiwa"Action"
 
Kaanza kuvaa bullet proof ennh!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nikifanya kauchambuzi kadogo tu ni kwamba hawa wote na wengine wasioonekana picani wameenda na magari na hii hutokea hata Rais akienda Kenya tu............................

View attachment 68742

Alafu wanavyoshangiliana utadhani hawajaonana miaka kumi kumbe hata wiki moja haijaisha.
Nadhani kila mmoja anamuwahi JK ampe umbea kabla ya mwenzake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kaanza kuvaa bullet proof ennh!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kumbe umeisoma eh?
Ni dhahiri hali yake ni tete,
kesho kutwa tu atasafiri ili ajiepushe na majukumu mazito ya TZ.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mbona Diamond akishuka kwenye zulia jekundu pale mlimani city huwa mnashangilia?
Chadema bwana?

Kuna ishu nyingine inabidi uweke uchama pembeni mkuu, suala la misafara isiyo na msingi linakera na ni ufujaji tu wa hela. Kama umeshawahi kufanya kazi wizara nyeti serikalini utaelewa ninachokiandika.
Sio suala la ulazima sana kila kiongozi kwenda hapo, muhimu ni usalama wa Rais tu.
 
huyo mama (nahisi) asiyenamkono ni nani? namwonea huruma
 
Typical Africans Presidents,wanapenda kuonekana they have power,umewahi kumuona Obama au other presidents nchi zilizoendelea wanalakiwa? Wastage taxpayers money
 
Back
Top Bottom