Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,726
- 2,255
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aku!Hongera tumejua
Hivi kumbe yale mambo ya kwenda kupigia picha barazani kwa watu mpk leo yapo.....
Kazi ipo na ikulu zao! Sisi yetu ipo karibu na bahari Tsunami ikija bongo km ya kule kwa Yamaha na kyushu na Honshu yatakayojiri mie sijui kabsa!
Mkuu vitambi hivyo vinalelewa haviji siku moja, si unajua tena, posho,alawansi za kujikimu na mengineyo, fanya hima na wewe usiwaonee wivu.Pennysl.......... Avenue!!! Wabongo huwezi kukosa kuwatambua si unaona vitambi; bila shaka walikuwa wanafakamia McDonald na kilaji!!
Kweli Mkuu sijui wataokolewa vipi.
Usijali mkuu, karibuni nitaweka pambano la tembo pale Mikumi nililolishuhudia hivi karibuni.aibu gani hii , hapo huna hata picha moja uliyopiga serengeti au mikumi .