na bahati miye

Hahahaha, mdingi ana akili sana tu, basi tu saa nyingine zinahamia kwenye zipu. Hata mie nikivaa sarawili mbona akili zinaruka kama baba Mtambuzi? Huyo muuza ubuyu hata staki kumsikia. Mie nampenda sana baba ila nimemnunua kwa kumtokea lara 1 manake mmmh
ila siri yako mwenzangu, mie siku hizi naenda kupunga upepo sea cliff kila jioni natega wazungu. Nimeshtukia Paw hanitoi wala nini mjini hapa. Sasa naongeza wigo wa warussia na wachina wasiovaa yeboyebo.
mi alivosema .........nipo namrassia now.... sikuelewa ujue!asanteh sana binti Mtambuzi yani babako angekuwa na akili kama yako sijui mama ngina angeonaje raha au yale maneno ya muuza ubuyu ya kweeeli? #just saying
 
Jamani mtaniua na presha! Huyu ni mwanaume? Anajisifia kuopoa mrussia? Mkicheza wanaume mnapotea kwenye uso wa dunia, haki ya wallah!:glasses-nerdy:
He!
Kumbe Huyo Ni "He"?
Majina Jaman...!!
Eti KING'ASTI!?
 
Basi nikuwowe mimi? Ntajipaka karolaiti tu. Manake naona ushanivika uume hapa:majani7::majani7:
king'asti jamani hadi wewe.
hapana wanaume weusi pia wako juu n baba zangu,kaka,wajomba,marafiki ila imetokea tu,na pia mona nyie wanaume mnapenda wanawake weupe!
 
Back
Top Bottom