na bahati miye

kubwalamaadui

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
328
51
sijawahi kutoswa,ila mi nimtosaji alafu cha kushangaza mie n wakawaidaaaaaa..
siri ya mafanikio n kujtambua,kujitamin na kujiamin
 
Unapata mambulula ndo unawashika masikio mwanamke mwenye akili zake lazima uzame ndani ya 180zake upende usipende

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Uzi wa kijuha kama huu utakuta unafika hadi page 13. MODS tuondolee hii kitu.
 
Unapata mambulula ndo unawashika masikio mwanamke mwenye akili zake lazima uzame ndani ya 180zake upende usipende

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

unajua maana ya silent killer.hyo inaitwa kill me soffffllyyyyy.
unajishaua tu.hivi huwa hamskii wanaume wanakufa kwa ajili ya mapenzi
 
Uzi wa kijuha kama huu utakuta unafika hadi page 13. MODS tuondolee hii kitu.

mod atoe ili iweje!hivi vipi,mlishazoe post za wanawake kulalamika kanifanya hiv mara hiv.post hailolewi najua mods n waelewa sana
 
Hatuwezi Jua...Kama Hao Unao Watosa Ni Vifaa Na Wanajitambu Na Kujiamini!!?
Basi Wewe Una Bahati Sana!
Ila Kama Ni Mazombi Mbele Kama Nyuma!!?
Ujiite Mwenye Kimavi!!
 
Hatuwezi Jua...Kama Hao Unao Watosa Ni Vifaa Na Wanajitambu Na Kujiamini!!?
Basi Wewe Una Bahati Sana!
Ila Kama Ni Mazombi Mbele Kama Nyuma!!?
Ujiite Mwenye Kimavi!!

sio mazombi babaaaaaa.
alafu siri nyingne ya mafanikia sijirahsshi hata siku moja kwa mwanaume.
you made my day na koment yako
 
Here we go again! Hii syndrome ya kutamba mkipata wanaume weupe sijui mtaponaje. Mweh! Msalimie mrussia!

king'asti jamani hadi wewe.
hapana wanaume weusi pia wako juu n baba zangu,kaka,wajomba,marafiki ila imetokea tu,na pia mona nyie wanaume mnapenda wanawake weupe!
 
Sifa za kijinga enzi hizo. Wenzio tunaogopa HIV

sasa hapa hiv inaingiaje sweeper!unafikiri kila mtu anaenda kavukavu kisa boyfrnd!hata kama si kwa hiv tu na unwanted mimba my dia.ndio maana nmekwambia najitambua na sishobokei kuvua pichu kivile ndio maana wanapapatika
for ur info evenhuyu mrussia wangu tunatumia kinga.
nawashaur pia wanajamvi si ukipata tu bf sijui mchumba kavu kavu tu,hapana hapana.
pole kwa kuogopa hiv na nakushaur kinga na kupima.sio uogope tu
 
Back
Top Bottom