mzunguuu!

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
kuna mzungu mmoja alikuja bongo kwenye kijiji fulani,kuanzisha NGO ya kusaidia wanakijii!
Siku moja akiwa anafanya mkutano na wanakiji,c akaachi bonge la ushuzi,wanakijii wakamcheka vibaya sana!
Akajisikia aibu sana,hata akashindwa kuendelea na mkutano tena,
Jamaa(mzungu)akaamua kurudi kwao ili kuua soo,aka kaa kwao miaka kumi ili watu wasahau!
Baada ya miaka kumi akarudi tena pale kijijini,akiwa njiani,anakaribia kutokeza mtoni aliwasikia akina mama mtoni wanafua,huku wakipiga soga kwa kubishana kuhusu umri wa watoto wao!
Mwanamke1"jamani mwanangu mie ni mkubwa kuliko wa kwako"
Mwanamke2"wangu ni mkubwa"
Mwanamke1"kwani wako kazaliwa lini jamani?"
Mwanamke2"kipindi kile mzungu alipojamba mkutanoni"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom