Mzunguko ndani ya nyumba

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
wana jf,haka kamchezo sio kazuri
leo nimepewa kisa na mshikaji wangu hapa nilipopanga

mshikaji kamtokea demu hapa jirani kitambo kabla mie sijahamia na akafanikiwa kuwa na huyo demu ila baadaye mshikaji akaenda chuo,wakti nahamia hapa huyo demu alitokewa na mshikaji mwingine ambaye naye alikuwa amehamia kitambo kidogo tu,mi niliujua huu mchongo mpya maana hapo awali mi sikuwepo,huyu mshikaji mpangaji akatuambia masela kuwa kapata mtoto wa geti maeneo ya hapo karibu,siku moja wakakorofishana na huyo demu na wakti huo kuna msela wa huyo mshikaji mpangaji alikuwa ametoka mkoa kaja kwenye interview,akambembeleza huyo demu hapo huku jamaa akiwa ameondoka kwenda misele na akimwambia demu wake huyo kuwa asimkute nyumbani,mshikaji toka mkoa kabembeleza hatimaye demu kajiachia jamaa akala mzigo.
mshikaji wa kwanza ambaye yeye ni mwenyeji karudi toka chuo na kuendeleza makamuzi kama kawa,sasa leo hii jioni 19/08,braza mtu karudi toka kazini ila baadaye akaonekana kama ni mtu aliyesahau kitu kwenye gari yake,braza mtu akamuita mshikaji wa chuo na kumagiza kuchuzukua miwani na cheni na avipeleke kwahuyo demu kuwa alivisahau na akaambiwa avifiche ili shemeji yake asivione,ndipo mshikaji akagundua kuwa braza yake naye kapita kwa huyo demu ila ikaonekana baadae kuwa braza alimpata kwa bahati mbaya tu baada ya braza kumsimulia mshikaji ambaye ni mdogo wake,"eti kajiingiza mwenyewe mi nikala",braza hakujua kuwa dogo anakula,ndipo braza akamuambia hata hivyo huyu demu sina mpango naye kwani anachukuliwa na jamaa wa nyumba ya pili na akamtaja jina la huyo jamaa,leo hii usiku mshikaji mpangaji alikuwa na mshikaji wa chuo kwenye gari binafsi wakitoka kwenda matembezi ndipo walipo kutana na huyo demu kumbe alikuwa anamsubri mshikaji mpangaji wakiwa na appointment,ikabidi waende wote
hiki ndcho kisa kilichotokea huku kwetu katika uwanja wa mapenzi ya mzunguko
 
Hivi nani alikupa kazi ya kumfatilia huyu msichana na kujua kalala na nani ? mbona hujatuambia kuwa WEWE alikukataa pamoja na kuwaonjesha wote hao? au ni kwa sababu unafatilia maisha ya watu saaana a.k.a MMBEA akaona utamtoa hata kwenye magazeti ya Shigongo ????
 
hivi suppose huyo msichana anaanza kuugua na kufa....umewahi jiuliza utakuja ku post nini hapa?ikitokea hivyo??????
itabidi wazikwe wote kwasababu huyu hana kazi hapa duniani zaidi ya kumfatilia huyu binti,poor him lol!

mhhh nimeielewa story yako kwa shida sana, ina maana hapo mtaani kwenu kuna msichana mmoja tu?na wewe umeruka kisehemu chako?
Huyu KAKATALIWA ndio maana kaileta hapa,angekubaliwa wala asingelalamika hivi hahaha!
 
Msani, unaweza kuifupisha stori yako. Kwani kwangu imekuwa ngumu kuielewa, na nashindwa kutoa msaada.
 
Haki mi sikuelewa chochote. Ila baada ya kusoma comments ndio nimelewa kwa mbaliiiiiii.... Tuombe Mungu msichana awe na healthty sexual hygiene coz vingine breaza yake na yule wa chuo, yule mpangaji na dugu yake fulani, bwana wake wa zamani na yule mpya na hao wengine hata sikuelewa wametoka wapi wote ni marehem in 2020.
 
mhhh nimeielewa story yako kwa shida sana, ina maana hapo mtaani kwenu kuna msichana mmoja tu?na wewe umeruka kisehemu chako?

yaliyomsibu yeye mwenyewe ndiyo yananoga haya ya kusimuliwa na kuhisi yana mushkeli mkubwa wa hasa kujua kama ni kweli au ni njozi na matarajio ya mtu tu.........
 
mhhh nimeielewa story yako kwa shida sana, ina maana hapo mtaani kwenu kuna msichana mmoja tu?na wewe umeruka kisehemu chako?
NADHANI KAMA ANGEWAPA HERUFI (LETS SAY X, Y ,Z R etc )
HIVI HAO WAHUSIKA NDO ANGESOMEKA VIZURI!! MAANA MARA MSHIKAJI MMOJA MARA MSHIKAJI WA CHUO... DUUUUUUUUUUUUUH WAMBEA WANAKAZI
 
Kukuelewa imebidi nisome na vidole pia.... Haya ndo maisha halisi tatizo huwa hatujuani tu!!
 
thanks for sharing! face it guys, ni mbi za vijiti hizi! chuo wakaka walikua wanaambiana 'mwana,pokea kijiti,mi nshachoka'! na ujinga wa mwisho ni kusahau dawa ya penzi! wish u lucky guys,tusisahau kurekebisha na muumba just incase tutakuta hukumbu huko juu!
 
Back
Top Bottom