Mzungu wa nne

Mkae na kuzungumza.Koneshana vitendo vinavyoashiria kuchokana havitawasaidia kamwe.Sema nae.

Jama ee, mie nshasema nae sana. Amkua akinihaidi atabadili tabia ila hamna cha kubadilika wala nini. So nkaona sasa ananicheza sheri, so na mie ncheze hio sheri basi.
 
Penny na wewe anza kukata kinywaji muwe ngoma droo msipeane mzungu wa nne unaboa sana, kwani mshikaji anapata pombe za kiasili kama vile chipumu, pingu, wanzuki, kangara, komoni, Rubisi, mbege, ulanzi maana hizi kwa kweli zina harufu.
 
Tena nilimpenda kwa moyo mmoja, ila kumekuwa na mabadiliko makubwa sana toka anioe. Ilibidi nilalae mlalo huo maana hanipi mashamsham ya mapenzi. Kwa ujumla nimejikuta sina tena hisia naye. Nampenda mpaka kesho. Ila nafsi imegoma kabisa.

kwani sasa humpendi? kama humpendi tena bora uanze mbele tu msije uana bure!

penny kwenye ndoa hukufuata kitanda na biashara ya mzungu wa 4. sasa kama
"ndoa" haijipi bora na kama unavyosema umejitahidi kumbadilisha jamaa akujali lakini matokeo ni sifuri, rudi kwenu ambako utalala mlalo wa kawaida na wala si wa mzungu wa 4.
 
Jama ee, mie nshasema nae sana. Amkua akinihaidi atabadili tabia ila hamna cha kubadilika wala nini. So nkaona sasa ananicheza sheri, so na mie ncheze hio sheri basi.

Bora uanze tu kama umeshindwa kuvumilia harufu ya pombe.
Lakini kama anakunywa pombe kuchota na anavuta fegi harufu yake mmmmh! balaaa anaweza akawa anaua mbu kwa kucheua.
 
Bora uanze tu kama umeshindwa kuvumilia harufu ya pombe.
Lakini kama anakunywa pombe kuchota na anavuta fegi harufu yake mmmmh! balaaa anaweza akawa anaua mbu kwa kucheua.
Duh..! Kamanda naona unaua kabisa...
 
Jama ee, mie nshasema nae sana. Amkua akinihaidi atabadili tabia ila hamna cha kubadilika wala nini. So nkaona sasa ananicheza sheri, so na mie ncheze hio sheri basi.

Sasa Penny sijui unataka nini?watu wanadadisi na kutoa ushauri ili kujaribu kutatua tatizo lako we unakua mkali kweli,sasa kama ndo hivi no wonder kulala mzungu wanne kwenu imekua ni tabia.

Pole wee.
 
Sasa Penny sijui unataka nini?watu wanadadisi na kutoa ushauri ili kujaribu kutatua tatizo lako we unakua mkali kweli,sasa kama ndo hivi no wonder kulala mzungu wanne kwenu imekua ni tabia.

Pole wee.

Mbona sina ukali ndugu, sema humu kunawatu ambao hawatoi ushauri wanabakia kuuzodoa tuu. Ndo maana pengine ninapowajibu inaonekana najibu kwa ukali. Hapana siko hivyo jamani. Mwenye kunipa ushauri vizuri ntamjibu kwa uzuri...Asante nasubiri ushauri wako pia usisite.
 
Bibie naomba na mi nichangie hili...!

Nafikiri jamaa hapa hawakuzodoi, ila kama jadi hapa JF watu wana uhuru wakusema na kudodosa kila kona ya issue inayoletwa hapa....so don't mind huo ni uhuru wao just take it as challenge to you, if possible!

Ushauri: Hali ya uhusiano wenu na mshobobo wako inawapata wanandoa wengi sana, mambo ya kuchuniana, kunyimana unyumba n.k huwa yapo sana kwenye ndoa nyingi...., kitu cha msingi huwa ni reconciliation ya tofauti baina ya wanandoa as soon as it happens! unatakiwa ujiulize at any time, je, ndicho ulichofuata huko kwa mume au hayo ndio maisha uliotarajia na je mtaishi maisha ya mzungu wa 4 mpaka lini kama hutarajii jamaa yako kubadilika in the near future?

Kama mchangiaji mmoja alivyo sema, hata wewe kutakuwa na kitu kisichomfurahisha, ndo maana jamaa ni kama hatishiki na mzungu wa nne wako yeye anaendeleza tu kilaji....kitu cha msingi tafuta kwa bidii hicho kitu anachokerwa na wewe ni nini, halafu kirekebishe...naamini mambo yatakuwa bambam! Vinginevyo utaishia kutafuta faraja na mashamsham nje ya ndoa yako na jamaa yako atafanya hivyohivyo......! hapo ndipo itakuwa ni ALFA & OMEGA ya ndoa yenu!
 
Penny pole mwanawane. hivyo vijimambo vipo sana ila wewe hutakiwi kuchoka nakushauri jaribu kumueleza tena na tena jinsi unavyokerwa na tabia yake hiyo na usichoke kusema kila alfajiri kabla yakutoka kitandani muambie fanya kama ndio wimbo jitahidi kurudisha hisia zako kwake mpende kama zamani taratibu utaona mambo yanabadilikia ....

Ila zaidi ya yote tambua kwamba hakuna kitu kinamshinda Mungu hapa chini ya jua kazana sana kwenye maombi mwambie Mungu vile unaumia kuona ndoa yenu inaelekea kubaya ..kulala mzungu wa 4 nidalili mbaya mlilie Mungu sana na muombe aibadilishe ndoa yenu nyie wenyewe ndio wakuinusuru na si mtu wa pembeni kama sisi.. sisi tutakupa ushauri kazi iko kwako..Na kama shem ananuka mdomo mtafutie mgaa na umpigishe mswaki.. kama ananuka kwapa pia munulie manukato na hata aiendapo bafuni sio mbaya ukimsindikiza siku mojamoja mfanyie na mambo mengine ya muhimu na hayo ndio mapenzi ya wawili dada ...

huo mtungi kila siku pengine akija kavu kavu nyumbani kuna mambo huwa unamboa ili kuondoa nishai anakuja na tungi .
 
Naomba niulize swali ndani ya swali, Nimepitia ushauri mzuri unaotolewa hapa, asilimia kubwa wanasema uvumilivu bibie avumilie, lakini nanachokiona hapa ni kwamba mume haoni kama hilo ni tatizo na ndio maana kila siku ana ahadi za uongo. Nashawishika kusema huyo jamaa kuna kitu anajivunia. Kama bibie angekuwa na shida lazima angeshaeleza mara anaposhutumiwa na mipombe na harufu mbaya na bibi yake. It seems hakula lalamiko mume kashalitoa. Let us be realistic, ni kweli mzee bado anania njema na hiyo ndoa au anamtafutia bibie sababu? Hebu tulipe mtazamo mpana hili jambo ili bibie apate msaada wa uhakika na wakudumu.
 
Ina maana wewe hukuweka msimamo katika mwanaume unayemtaka! km ulimpenda kwa dhati, basi hiyo harufu ya pombe isingekuwa kero kwako! lkn naona km ulikubali tu kuolewa nae lkn hukuangalia wala kufikiria unywaji wake. Hapo mwanzo ungesimamia msimamo wako na ukakaa kusubiri asiyekunywa! Ushauri wangu ni huu: Ukipenda boga upende na ua lake!
 
Kumbe jibu mmelipata wenyewe. Haya sasa.

Penny ni kweli mdogo wangu unapata taabu .. wenzetu hawajui kwamba mapenzi yanahitaji nyote muwe wasafi yani msioneane kinyaa .. ndo raha ya mapenzi .. sasa hata mtu akiwa amelewa huenda akakuzimikia njiani maana hawaaminiki .. wewe bado unamhitaji yeye anakoroma .. pole mammy ... nenda kwa wakuu wa familia ama kanisani ukamsemee.

La sivyo subiri akilala sikummoja .. umwage maji sehemu yake halafu unajikausha asubuhi .. uone atakavyo fedheheka .. wewe kimya kama haupo vile uone atakuambia nini .
 
Asante dadangu, hayo maji ni kwamba yaashirie amejikolea! si bora niikojole hio sehemu maana akinusa atakuta ni maji sio mkojo! then I wait for the reaction. Au sio dadaa.
 
Penny...naona nijaribu kukusaidia kama ifuatavyo.
1. Nijuavyo ni kuwa Awali wakati wa Ndoa mumeo alikuwa Hanywi, kaanza kunywa baadae...au Tabia yake ya ULEVI aliificha....sasa ameanza kuonekana picha yake Halisi. Baadhi ya wanaume wanatabia ya kuficha tabia zao HALISi wakati wa kuoa....

2. Tabia ya Ulevi ni Mbaya, na Ulevi ni mama wa MAASI yote... angalia namna bora ya kulitatua tatizo la ulevi. Moja waarifu wazazi wako, then wao wawarifu wazazi wa mumeo..kama unaweza kuwaambia wazazi wa mumeo Go ahead. Otherwise tafuta watu Genuine hapo mtaani kumfikishia ujumbe...Viongozi wa DINI ni sehem yao ya kutoa maelekezo ya KIDINI juu ya hii case...

3. Ulichokianza cha kukaa mzungu wa Nne si mbaya...ila Harufu ya Ulevi to me haivumiliki...
 
Hapa ndipo Padri au Sheikh anapohitajika, usipoangalia ndoa itavunjika, usifikiri mkiachana utapata bora, repair ndoa muendelee, pole na masahiba..
 
Back
Top Bottom