Mzungu na mswahili huyu wanafanya nini?

umesomeka mkubwa kwani wazungu munawaonaje na wao wanafuriaga na wabongo wanawawezesha then mamboooooo yetu yalee yanafuata
Conquest-the fool is thirsty
 
NYOSO163.JPG
Wananataka kupeana lita kadhaaaaaaaaaaaa za mate, tamuuuuuu
 
Mimi naona kila mmoja wao anahisia na kutamani aitesti ladha ya mwenzake mwenye rangi tofauti na ya kwake.
 
aaaaah shemeji hebu kwanza,
ulikafaidi kamzungu au hako kengine ka-Zanzibari???

Ka-Zanzibar? Hilo Dume la mbengu mie nilipeleke wapi? Pua ka donge la Revola, la nini?
Shemeji unauliza tumbo wakati kitovu unakiona? Mnyamwezi akiona kangozi kaupe basi anachanganyikiwa.
Sasa ukiona hata Wanawake wawili, kwa mfano Fidela na Nsia Swai, basi lazima ufahamu kuwa baba yake Nsia atapata mang'ombe mengi.
Uzuri wa Wazungu ni kuwa unapoowa, hutoi mahali wala ng'ombe na ukibahatika ukamzalisha, unasafisha ngozi za watoto.....
Si mwenyewe angalia Obama akikutana na Obamas wa Kenya, anakuwa Mzungu kabisaaaaa!!!!

Ngoja niendelee kupekua makaratasi, inawezekana bado nina simu ya haka kabinti. Labda kama kameolewa.
 
Si mchezo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom