Mzungu huyu hafai

Ila mletamada hawa vijana ama ni mabwabwa au wanaamua kujilengesha mtu ushajua jamaa anafanya nini,unaenda kufanyaje km si kupenda kutobolewa majitu mengine bana sijui yakoje!
 
Hao vijana watakuwa mabwabwa au wanapenda kuwatafuna mashoga. Hapa vyombo vya dola inabidi vifanye kazi yake...
 
Wewe alikupa offer ya bia ngapi?, mishikaki mingapi?, ulipoenda kwake ulala mpaka asubuhi au uliondoka?!, mulikuwa wangapi hapo kwenye offer ya urabu na nyumbani kwake?!, alikushawishi vipi mpaka ukaenda kwake?!, umapendekeza vijana wenzio wafanyeje ili wajinasue na mtego huo.
kinondoni barabara kuu zamani bagamoyo kuna aparments maarufu hapa jijini,kuna mzungu anaishi kwenye zile aparments mzungu huyu anatuharibia vijana kwa offer za vitubia hufanya ukarimu mkubwa( bia tu na pengine nyama choma) kwa vijana hawa mwisho hujifanya BWABWA Kwa maelezo ya vijana hao ghafla hukugeukia mtego huu wameingia wengi nasema wengi .nasema hatakama ana permit ya makazi lakini anashughulika nanini ? wanaUsalama wa Raia mpo ? isije ikawa ni JASUSI kajatuharibia vijana wetu.tahadharini vijana hasa wale wapenda pombe za bure jitu halina address kamili atakuwaje rafikiyako na kwenda kwake huku tena umelewa ?
<br />
<br />
 
I smell fishy here,sir henry vp ushaliwa na huyu jamaa nini?vumilia bana hizo ajali kaziniacheni ulafi wa bwii vijana
 
Sir henry sisi hatumfahamu huyu mzungu na sehemu hujaielekeza vizuri,kwanini usichukue hatua na kuwajulisha polisi kuhusu huyu jamaa, watamwekea mtego na kumnasa kiulaaani hata kama hawatamfikisha mbele ya sheria huo upepo watakaomtoa utapunguza kasi yake.
<br />
<br />
 
ni raia mwema wa tz na raia mwema wa dunia yetu hii nzuri siijui hata harufu ya pombe,sinamaana wanywaji si raiawema hapana.
 
Umaskini unawafanya hao vijana wahatarishe maisha yao. Maskini utapenda kaofa kumbe hakuna cha bure duniani. Na hiki kibabu cha kizungu lazima kitakuwa kimeathirika.
..Si umasikini hata kidogo. Ni uvivu wao kutojishughulisha mwisho wa siku ndio wanaingia kwenye hiyo mitego acha wale matokeo ya ujinga wao. Hivi ukiwa masikini ndio unakubali kuliwa m******u?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom