Mzungu aja TZ kujifunza kiswahili

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Raia mmoja alikuja TZ kwa nia yakujifunza kiswahili na baada yakuitimu ikifika siku yakuondoka akasindikizwa na wenyeji wake mpaka airport wakati wakiagana wale wenyeji wake wakamwambia hebu tuambie ulichojifunza kwa muda wote uliokua TZ akaanza 'umeme katika, maji kauka mtera, umeme rudi oh umeme katika tena, mimi shio wezi kuwa mawingu nyesha jaza mabawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom