Mzumbe unversity na mchakato wa kufungua tawi la CHADEMA

Gwota

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
205
92
Ndugu wana JF
Harakati za ukombozi wa kweli wa mwananchi wa Tanzania unaendelea kwa kasi katika sector ya vyuo vikuu, Sasa ni zamu ya mzumbe ambapo hatua za kufungua tawi zipo mwishoni, Ndani ya wiki chache zijazo tawi litaanza kufanya kazi,
 
wakimaliza vyuoni waende vijijini sasa kuwaelimisha wananchi. kuna sehemu watu bado hajui kuna chama kingine na ndipo wanapopigia bao ccm hapo. cdm wanatakiwa wafanye kazi sana kuelekea 2015
 
mwanzo mwisho utofauti wa bavicha na uvccm unaonekana tu mapambano yaendelee
 
Go go go, ale ale ale Go go go, hiyo ndio nguvu ya umma......hatujivunii pesa tunajivunia watu,CDM mwendo mdundo.....
 
Ni Hatua Nzuri but sasa CDM ielekeze nguvu Vijijini ambako ndo kuna waTZ Halisi wengi
 
Hakuna kulala hadi kieleweke, wao CCM wana matawi hadi magengeni. Tuelimishane na moto huo usambae zaidi mpaka ibilisi CCM aangamie na kutokomezwa:tongue::tongue:
 
Back
Top Bottom