Mzumbe University

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
Jamani mbona mzumbe hawafungui branch Arusha jamani twateseka na kupata evening classes for Masters
 
mzumbe ni moja ya vyuo ambavyo sioni progress yake..wana fanya mambo yao taratibu sana-nenda hata mzumbe main campus uone mazingira yake ni ya ajabu huwezi amini kama ndo mzumbe university..
 
Ufisadi mwanzo mwisho from Warioba to Kuzilwa mambo ni yaleyale nenda main cumpus ujionee bweni lililojengwa kwa milioni mia nane na zaidi utajiridhisha!
 
mzumbe ni moja ya vyuo ambavyo sioni progress yake..wana fanya mambo yao taratibu sana-nenda hata mzumbe main campus uone mazingira yake ni ya ajabu huwezi amini kama ndo mzumbe university..
Natofautiana na wewe kwa hoja. Huoni progress za Mzumbe University kwa kuwa umeamua kutoziona au progress zenyewe hazionekani licha wewe kuwa na uwezo wa kuona. Hapo kuna shida fulani kwa hakika. Ila wengine wanayaona yafuatayo. Ndani ya miaka michache tangu kuanzishwa kama University, wemepanua matawi ya DSM kwa Postgraduate programmes na Mbeya kwa undergraduate na Postgraduate programmes. Na sasa kuna "Evening programes" Mjini Morogoro. Wamenza Campus nyingine Mwanza wakiwa na wanafunzi 50 na mwaka huu watadahili wanafunzi 150 wa shahada ya Uzamili. Wamefungua Campus Nyingine Tanga ambako mwaka huu wataanza na MBA na LLM programmes. Kama huoni, kuna uwezekano mkubwa ukawa na Makengeza.
 
Back
Top Bottom