Mzumbe University customer care ni zaidi ya vyuo vingine

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Kwa waliopata kusoma Mzumbe nadhani watakubaliana na mimi kuwa Mzumbe University wanawajali wanafunzi wake zaidi. Kwa list kamili na vyuo vingine labda inaweza kuwa kama ifuatavyo,
  1. Mzumbe University
  2. Muccobs
  3. SAUT
  4. .....
  5. .....
 
sasa wewe customer care ya vyuo vingine umeijuaje wakati ulisoma mzumbe? mambo mengine msiyalete hapa bwana!

Najuta kucomment kwenye hii kitu yako!
 
Are you a visiting Professor?

user-online.png
Ng`wanakidiku

26th December 2011 23:14
#1
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 18th April 2009
Posts : 256
Rep Power : 392

[h=2]
icon1.png
Dr Nchimbi apeta!!!!![/h] Naona Mh. Dr Emmanuel Nchimbi katoa heri ya mwaka mpya na wadau woote wamempongeza tofauti na viongozi wengine wa CCM ambapo huweza kushushuliwa live, ila kwa huyu mh. watu almost wamemfagilia! Inapendeza!
Emmanuel John Nchimbi
Rafiki zangu wa FB
Rafiki zangu wa FB
Tunapokaribia mwisho wa mwaka huu wa 2011, naomba nitumie nafasi hii kuwashukuru kwa dhati kwa kunivumilia kwa kutopatikana kila nilipohitajika ndani ya FB. Naomba mtambue kuwa nawathamini sana. Nawashukuru kwa michango mbalimbali ya mawazo ambayo mmekuwa mkinipa. Lazima nikiri kuwa mmekuwa watu wa msaada mkubwa katika majukumu yangu ya kila siku. Vilevile, nawashukuru kwa salaam za kunitakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu. Nilipata salaam zaidi ya 3000 na naomba nibainishe kuwa deni hili halilipiki lakini tafadhali nimuombe kila mmoja wenu apokee shukurani zangu za dhati kabisa.
KIPEKEE POKEENI SALAAM ZANGU ZA KHERI YA MWAKA MPYA, MWENYEZI MUNGU AWEKE MKONO WAKE KATIKA KILA JITIHADA MTAKAYOIFANYA KATIKA KUBORESHA MAISHA YENU NA MAENDELEO YA TAIFA LETU.
Nitaendelea kufanya kazi kwa juhudi ili nisiwaangushe ninyi Rafiki zangu na watanzania wenzetu wote popote walipo.
 
customer care kwa wanafunzi ni kitu gani,unaonekana bado usingizi haujakuisha.
 
Unajuwa hizi pombe za bure wanazonunuliwa vijana wenzetu zinawaondowa hadi uwezo wa kumiliki akili zao wenyewe, Yaani kisa Emanuel Nchimbi Phd yake alioianza kwa utapeli ameipatia hapo Mzumbe basi msubili sifa za marehemu kwa chuo hicho.
 
Malinganisho ni kutoka kwa rafiki zangu waliosoma hivyo vyuo!!
Mbona unazidi kujichanganya!! hueleweki unataka kuongea nini! malinganisho ya wapi? ni wapi kulikuwa na competition hiyo iliyokuwa inashindanisha hizo department? hivi na wewe una elimu ya chuo kikuu? kama jibu ni ndio basi tumeliwa na siwezi kushangaa nchi kuwa shaghalabaghala hivi kama tunazalisha wasomi wa kariba yako.
 
Watu waliosota UDSM utawafahamu tu. Hapa tunaongelea ukaribu wa lecturers na students
 
customer care ya chuo inajumuisha pamoja na ubora wa elimu, je Mzumbe pia inatoa elimu bora?
 
customer care ya chuo inajumuisha pamoja na ubora wa elimu, je Mzumbe pia inatoa elimu bora?
Bora bongo, sijui mliopo bongo mnaonaje? Huku majuu jamaa wanaagalia vitu vingi sana ili kitu kiitwe bora, hapa customer care ni jinsi ambavyo wahadhili wanavyo wakarimu wanafunzi yaani si ubabe ubabe kama UDSM ambapo juzi juzi wamefukuza watoto wa wakulima zaidi ya 40, sasa hapo kuna kujali maisha ya mtanzania?
 
Hv mzumbe ni chuo! Hakuna kama Baba wa vyuo aka state university! Ni furaha kwangu kupita pale.
 
Kwa waliopata kusoma Mzumbe nadhani watakubaliana na mimi kuwa Mzumbe University wanawajali wanafunzi wake zaidi. Kwa list kamili na vyuo vingine labda inaweza kuwa kama ifuatavyo,
  1. Mzumbe University
  2. Muccobs
  3. SAUT
  4. .....
  5. .....

Unasema labda inaweza ikawa lakini huna uhakika
 
Back
Top Bottom