Mzumbe sekondari tujikumbushe....

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Kwa wanafunzi waliosoma Mzumbe sekondari kati ya mwaka 1995-2002 kuna misamiati maarufu iliyokuwa ikitumika kumaanisha vitu mbalimbali kama ifuatavyo:
Nyali=Wali,
Ngama=Ugali,
Mongwe=Kuishiwa pesa,
Kilei=Msichana wa .... sekondari,
Salo=Mbogamboga,
Chitumbi=jina la mwalimu,
Nyuji=Uji,
Kusifia uumbaji=Kuangalia jinsi mademu wazuri walivyoumbwa,
..................,
...................,
 
kuna 'VITAI' mkuu kama unakumbuka vyema
kuna 'MONGWE'
kuna 'KUMUVIA'
 
the late ANTONI WIBONELE!alikuwa na msemo wake NO PHYSICS NO LIFE!dah!mungu amlaze mahali pema peponi mchawi wa fizikia
 
MWASITI mnamkumbuka?
maandazi yake yalikuwa poa

****** mnapakumbuka(mirambo kule)?

Complex?(shaban robert 6)

neno 'MTABE' lilitumika kwa watu kama kina JAPHETH KONZO,LUSEKELO KIBONA,EMIL PATRICK na wengine wenye A-flat
 
ku-odalaiz
limbwata
federation

Kuna teminologies nyingine zilikuwa hazitumiwi na jamii nzima ila zilikuwa maarufu among some:
North
MAVI
Kubamba
koloni
mbwila
Kula venji

Halafu duh, aisee nimekumbuka SLAB, pale typhoid ilikuwa nje nje.
 
Kuna facebook group inaitwa mzukila connexion, njooni wazumbe na viley tukumbushane enzi za ujana.
 
mzukila ilikuwa noma!watu wenye bondi zao walikuwa wanafaidi!

nakumbuka kuna jamaa alikuwa upako kweli kweli tukajamfuma VD amebambia kilei!hahahah
 
msitusahau sie kaka zenu tuliomaliza miaka ya mwanzo ya 1990s (kabla haijawa special school)..wakati ule kulikuwa na msemo kuwa "ukiwa mkuu wa bwalo" ni lazima uzunguke (div 0). Hivi yule mwl mganda bado yupo?
 
Kaka nasikia alishaondoka ktk dunia hii na hakufia Mzumbe, ila sijui lini na wapi?
 
mnamkumbuka mzee wa consider a body (wibo) mungu amlaze mahala pema peponi, siyo siri alitutoa kichizi, mtesigwa je?
 
Mnakumbuka kuzamia IBM chuo kupata msosi!! Ile mihogo ya breki ya saa nne!!
Wana Mkwawa mpo huku?
 
kuna kuchoma, kumuvu ki-tisa/kumi/nk.. Dah, mzumbeni kulitutoa sana, kwa wana kiumeni!
 
Mnamkumbuka Minja? Alikuwa anakaa na mwalimu mwenzake, Bitwale, then Minja akaanza kule mdogo wa Bitwale. Mpaka mwisho ikabidi amuoe. Huyu binti sasa amefariki R.I.P. Minja alichukua binti akiwa O-level!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom