Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Kwa sentensi yako hii, ndiyo ni moja ya mambo ya kujadikli, njia sahihi ya mtu kupitia kuwa Dr, au kuchkua degree, wakati kija wa miaka 22 Ulaya amemaliza degree, kijana wa miak 30 TZ anakimbizana na madarasa !
we have serious problem that we have adpted system that was meant for wakoloni, hatujabadilika, kuna wengine humu naona wamecrame tu, hakuna jipya, hata kama kuna silutiona au njia nzuri
Lets start from primary, vyuo hivi ni majaliwa , kwani ordinary education ndiyo inaoperate dunia kila siku. Hivi kusoma yale masomo ya darasa la tano sita na saba kwa kiswahili , halafu kurudia tena form one na two kwa kiingereza ni sawa??
Halafu wengi mnasahau chu zile ni kozi jamani siyo masomo kama ya form six, course was meant to train someone to work! sio kujaza course kwenye vyeti!
Waberoya:
Matatizo tuliyonayo ni kuwa watu wana-model mfumo wa elimu kupitia experience yao ya maisha.
Ukiangalia mfumo mzima wa elimu wa Tanzania ume-model maisha ya Baba wa Taifa.