Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Wana JF,
Ili swala la Phd feki nadhani lina maswali mengi sana.
1. Kama mtu ana Phd, au degree yoyote kwa kufoji that is very wrong. ila
2. Kwa mfano mtu anasema ana PhD, au degree kutoka chuo ambacho hakijawa accredited na board fulani au nchi fulani hapa kuna kasheshe kidogo.
Elimu ya Russia, canada, Japan, n.k kila watu wa nchi hizo wana standard zao. JE SISI WATANZANIA TUNAPOSEMA DEGREE FULANI IKO SHALLOW or whatever tunatumia standard gani??
kuna watu wanasoma Phd Miaka 7, kwingine miaka 4, kwingine miaka 2.5??? are they the same? arent all Drs'
someone help me, at least tungeonyesha uwezo na degree zetu nzuri, tunaosema wanavyuo visivyo na sifa ndio wengi walioendelea, hakina sie wenye vyuo vyenye sifa ndio tunaongoza kwa umaskini??
so kuwa na Phd, lazima uanze na degree ya kwanza, ya pili, ya tatu, who made these regulations, where? and why?? what if someone somewhere will decide to have their own ways??
Waberoya naomba nichangie hoja yako!
Ili swala la Phd feki nadhani lina maswali mengi sana.
1. Kama mtu ana Phd, au degree yoyote kwa kufoji that is very wrong. ila
2. Kwa mfano mtu anasema ana PhD, au degree kutoka chuo ambacho hakijawa accredited na board fulani au nchi fulani hapa kuna kasheshe kidogo.
Elimu ya Russia, canada, Japan, n.k kila watu wa nchi hizo wana standard zao. JE SISI WATANZANIA TUNAPOSEMA DEGREE FULANI IKO SHALLOW or whatever tunatumia standard gani??
Inaposemwa degree fulani iko shallow ni kutokana na accreditation ya nchi hiyo hiyo uliyosomea. Sasa kama wewe umesoma Urusi na Urusi huko huko chuo chako hakitambuliki kwa nini sisi tulazimike kukitambua? Kwa hiyo stds hata kama ni Angola wana bodi yao inayotambua vyuo vyao, Tanzania tunayo.
pia.
kuna watu wanasoma Phd Miaka 7, kwingine miaka 4, kwingine miaka 2.5??? are they the same? arent all Drs'
Length ya kusoma Phd inategemea mabo mengi cha kwanza ikiwa ni uwezo wako mwenyewe na sometimes relationship ya shughuli ulizokuwa ukifanya na hiyo Phd ( Hii inaweza kukusaidia kupata waiver),pili Type ya thesis/ dissertation yako. Tatu namna ya kufanya je unaifanya kwa research au coursework (Coursework inakuwa tayari ina prescribed minimum amount of study typically two to three years. Nne ushirikiano wa supervisor wako (This is very important - Na muda mwingi sana unaweza kupotea hapa - Je unapata the necessary support? Unaalign na wht the supvsr want? etc), Pia kuna suala zima la assessment, Lugha unayoitumia kama ni say kirusi na wewe hukijui ina maana kuna muda wa kujifunza lugha kwanza (Hii si part ya Phd)
someone help me, at least tungeonyesha uwezo na degree zetu nzuri, tunaosema wanavyuo visivyo na sifa ndio wengi walioendelea, hakina sie wenye vyuo vyenye sifa ndio tunaongoza kwa umaskini?? -
Hapa mkuu unakosea haimaanishi kila vyuo say Marekani havina sifa, na mind you hivi visivyo na sifa ni minute% maybe just 5% of the total registered. Na hakuna mtaalamu anayetoka kwenye vyuo visivyo na sifa kwani hataaminika. Mfano kampuni ya Samsung imeajiri Phd 1500. Do you think in those statistics kuna mtu aliyesoma chu kisicho na sifa au say hiyo PWU? Kwa hiyo basi sisi vyuo vyenye sifa tunavyo lakini very very few, Imagine up to I think 1998 we only had two (SUA and UDSM). Wenzetu wanavyo kibao vyenye sifa + the very very few visivyo na sifa. Pia umasikini wetu si suala la elimu darasa pekee bali kuna alot of other factors like lack of leadership, Lack of role models, Lack of ethics, Ignorance etc.
so kuwa na Phd, lazima uanze na degree ya kwanza, ya pili, ya tatu, who made these regulations, where? and why?? what if someone somewhere will decide to have their own ways?
Sasa hii inategemea na kila nchi, sehemu n.k na utaratibu uliotaja hapo juu is mainly Anglophone lakini kumbuka hata zile non-english speaking country zimeuadopt au kuanza utaratibu huo. Hizi regulations/ taratibu whtver zilikuwa made na previous scholars kulingana na matakwa ya wakati huo, na mahali hapo. Na hakuna anayekataza to have yours in your ways. Sisi tukiamua Tanzania kuanzisha kasistim ketu na kusema ukimaliza form four basi hiyo say ni undergraduate degree , form six ni masters na undergraduate deg ni phd is ok. Ila haka kautaratibu katakuwa ni ketu. We ca n even go higher than that. Lakini je do we have the resources kuafford that?