Mzomeeeeni, huyoooooooooooo.

Utamzomeaje wakati amepata ubunge na TAKUKURU hawawezi kumgusa huku akipeta na mamilioni ya rada anayoyaita vijisenti. Yeye ndiye anayetuzomea wabongo na TAKUKURU yetu inayotumia kodi zetu, anatuona Wadanganyika kweli kweli. Na kwa makusudi alijua hatapata uspika ila alikuwa analemga kumchafulia 6. Amefaulu malengo na anatesa mfululizo wala siyo kwa zamu

Ni kweli kabisa yote uliyosema, lakini maadamu tumemshindwa kwenye yote hayo, basi tufanye lile ambalo lipo kwenye uwezo wetu....HHIIILLOOOOOOOOO!!!:brick: :pound:
 
Mimi Mzee vijisenti fisadi, naapa ya kwamba, nitatafuna vijisenti vyote na kuzidi kuifilisi inji hii kwa mujibu wa imani yangu ya ufisadi, enyi watanzania nisaidieni
 
Utamzomeaje wakati amepata ubunge na TAKUKURU hawawezi kumgusa huku akipeta na mamilioni ya rada anayoyaita vijisenti. Yeye ndiye anayetuzomea wabongo na TAKUKURU yetu inayotumia kodi zetu, anatuona Wadanganyika kweli kweli. Na kwa makusudi alijua hatapata uspika ila alikuwa analemga kumchafulia 6. Amefaulu malengo na anatesa mfululizo wala siyo kwa zamu

NOBODY is above the law. NOBODY!
 
kajamaa haka si kalituhumiwa kuwanga mjengoni au macho yangu yana trakoma?
 
Msifieni bana...anainamaa anainukaaa anaona haaaya uyoooo!!!!akiona watu anainama....endelezeni
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom