Mzindakaya

Kevo

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,333
52
Mhe.Chrissant Mzindakaya anadaiwa kupewa mkopo na Sirikali Kuu kiasi cha Sh.Bilioni 9 ilhali mkulima wa hali ya chini ametengewa kiasi cha Sh. Bilioni 1.4 kama ruzuku ya mifugo.
Umaskini utatokomezwa kwa njia hii kweli?
 
Back
Top Bottom