Mzigo uliomwaga unga wa mzee(Dominique Strauss-Kahn)

Hakika kumng`oa kigogo kama huyu noma wangemalizana kibongo bongo... But ndiyo kawa maarufu hivyo...
 
haha ahah ahaha aha ahaha hahaha ahahah ahahaha.....hako bna kamepiga teke gunia la chapaa
 
Huyu Mzee wame mchezea rafu za kisiasa, yaani ka-dizaini hiyo hata mimi siwezi kuchukua! Anazidiwa na Maria Roza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom