Mzigo mpya wa original apple ipads 2&3 with 1 year international warranty!

Yes unachoongea ni kweli mkuu. anyway sababu mshikaji anakuja juu sana mie ngoja nikae kimya. lakini mwenye kunielewa anielewe.

Mie comment yangu ya mwanzo nilimwambia afanye Review ya prices tena kwa ku quote price za baadhi ya maduka ili kama alikurupuka basi afanye review kwenye bei. Hiyo nayo naona imekua balaa akaanza mara feki mara OG mara nn. Duh... Aiseee..!

Niliuliza wat is so special kwenye mzigo wake? nikasema hivi kama kuna keyboards na mengineyo price yake ni sawa compared to other shops. Coz mfano keyboard separate inauzwa dola 70 na kuendelea. pochi ni ni dola 20 na kuendelea.

Nachotaka nimwambie naweza kumuagizia hizo ipads tena Factory unlocked kwa whole sale ya dola 500 mpya. Asitake kujua zimeibiwa kwenye contena wala zimetoka wapi?

Ingekuwa kila seller anasema ukweli mzigo kaupata wapi na kwa bei gani mbona Kariakoo tungekoma . Wat they do wana angalia market price. hata kama amenunua kitu kwa shilingi moja atauza kwa shilingi elfu 1.

biohazard naona umeamka na mimi leo unataka kuniletea hazard kwenye business yangu! Tatizo mimi nipo mikocheni na target market yangu ni kusupply makampuni, na watu wapenda vitu genuine na high class, ndo maana nimelipa kodi zooote! Sio kwamba sijafanya research nimefanya tena sana masaki, posta, mikocheni na kampuni zinazosupply, nenda shoppers i pad 3, 64GB ni 2.3m ndo maana nakwambia kila mtu ananamna ya kufanya business, watu ninaowauzia they are much concerned with reliability ya quality and less about price. Bishara za kkoo zinaeleweka kuwa 90% ni chinese fake! na 10% wanaouza original ni wakwepa kodi wakubwa na mahodari wa kuizunguka TRA.

Wewe do what you do and let me do what i do.
 
nijua ata zle bei zangu zpo! Duh mizgo niya ukwel na nimeipnda ila iyo bei2 imenshnda ful mimepasa ya kdhungu
 
biohazard naona umeamka na mimi leo unataka kuniletea hazard kwenye business yangu! Tatizo mimi nipo mikocheni na target market yangu ni kusupply makampuni, na watu wapenda vitu genuine na high class, ndo maana nimelipa kodi zooote! Sio kwamba sijafanya research nimefanya tena sana masaki, posta, mikocheni na kampuni zinazosupply, nenda shoppers i pad 3, 64GB ni 2.3m ndo maana nakwambia kila mtu ananamna ya kufanya business, watu ninaowauzia they are much concerned with reliability ya quality and less about price. Bishara za kkoo zinaeleweka kuwa 90% ni chinese fake! na 10% wanaouza original ni wakwepa kodi wakubwa na mahodari wa kuizunguka TRA.

Wewe do what you do and let me do what i do.

Okey no problem Mkuu. Biashara njema wala cna nia mbaya na ww ni katika kupeana ushauri.
 
Nyie toaneni roho na EYE PADS zenu.......sisi tuko huku........:yawn::yawn::yawn:

mganga!.jpg

SNS siku yangu leo ilikuwa dull sana, lakini this poster of yours made my day.

Swali moja dogo, kuwa free mason ni ugonjwa? Maana ukiangalia inaonekana kama hiyo ni moja kati ya matatizo anayotibu.
 
Unadhani Shoprite hawana sanduku la Maoni. Do you know the meaning of SUGGESTION BOX?

BIO bwana mpaka unanichekesha! Sasa maoni ya nini? We hauko serious na business inaelekea, sasa chumvi imetoka SA iuzwe sawa na inayochimbwa lindi? Ifike mahali ujue kuna kitu kinaitwa cliet profile, kitakusaidia kujua sio kila mtu anataka cheap price, wengine wanapenda high price just for the sake of status quo kwenye jamii, ili aonekane yuko juu
 
Naona mkuu umehamia kwenye Theory ya Demand and Supply. Not for ur Item mkuu... Hiyo ipo applicable kwa jewellers do u want to say ur ipads are quoted with Diamonds,Gold au nini hasa unachotaka kusema.

The lower the price the higher the demand at the end of the day Turnover yako inakua kubwa kwa sababu ya Circulation kubwa ya pesa.

Kwenye biashara kama hizo za kwako unakuta ile mentality ya seller kuwa price maker na buyer kuwa price taker cku hizi haifanyi.

Buyers acha tuwe price makers.
 
Kwa website yao 4G LTE wanauza dola 499 sasa ndugu yangu mpaka unafika dola buku ni kodi au ndo mambo ya super normal profit kama enzi za biashara ya utumwa?
Apple - The new iPad - It

Njowepo we nawe bwana we umeassume nimenunua huko kwenye hiyo website yako, wakati hiyo assumption ni very wrong, bora bio hazard anabisha vitu anavyovijua, kuna outlet kibao za apple duniani, endele kugoogle utaona price zinavotofautiana, i bet you hujawahi kutoa mzigo bandarini ndo maana hujui sumu ya tra inavoumiza kama sio kukuua kabisa, Simply fikiria gari la usd 3000 japan lija huku utakuta mpaka 10m yard, kama hujawahi kutoa uataona wizi mtupu ila kama umechangi TRA ndo utaona mantiki.
 
Naona mkuu umehamia kwenye Theory ya Demand and Supply. Not for ur Item mkuu... Hiyo ipo applicable kwa jewellers do u want to say ur ipads are quoted with Diamonds,Gold au nini hasa unachotaka kusema.

The lower the price the higher the demand at the end of the day Turnover yako inakua kubwa kwa sababu ya Circulation kubwa ya pesa.

Kwenye biashara kama hizo za kwako unakuta ile mentality ya seller kuwa price maker na buyer kuwa price taker cku hizi haifanyi.

Buyers acha tuwe price makers.

BIO napenda sana challange zako coz zina logic, na hukurupuki kubisha unatoa na supporting facts i respect you for that, pia nimekubali uchumi umelala hapo kwako ila tatizo tupotofautiana mimi na wewe bio unatumia assumptions ambazo ni general

Nakubaliana na demand and supply theory ila mimi nimeichukulia I PADS kama luxury goods, THE HIGHER THE PRICE, THE HIGHER THE DEMAND, Na ndo maana nilikwambia target yangu ni makampuni, na wealthy individuals. Kwa tz kumiliki I PADS ni luxury sio necesity

Kingine ambacho huja consider ni capital factor! mimi sichukui mzigo in large bulk quantities, nachukua kidogo, kwa watu reliable hivo sipati economies of scale kama hao wanaochukua bulk

Kingine location nilipo price guarantee reliabilty na quality.

Kingine ni clientele, kujua wateja wako wanataka nini na wapo tayari kutoa bei gani, sehemu nilipo pirice range ndo hizo.

Ngoja niishie hapo, mtaji ukikua ntakutafuta bio nianze kufanya biashara zako kubwa za kkoo
 
Pamoja mkuu usinielewe vibaya.
 
kaka mimi kwenye comment yangu sijataja jina la biashara la mtu yeyote, wala sitaki kuwazungumzi hao wauzaji, tatizo mlangu mimi ni wewe mtoa comment! Mimi hao wauzaji siwezi kujua detail za biashara yao wala sababu yao ya kuchaji price hiyo.

ITS A FREE COUNTRY AFTER ALL!!! Mtu anachaji bei inayomlipa, sasa kama mimi hainilipi siwezi kuchaji, ndo maana nikakwambia SAMSUNG, LG, NOKIA, CANON brand hiyohiyo bei inayouzwa game ni kubwa kuliko ya maagent wao, na bei ya maagent ni kubwa kuliko za kariakoo. ila brand hiyohiyo.

Ni choice yako mteja kununua unakopaamini na roho yako iliporizika.

Kaka nakupinga hoja yako kwamba game wanauza original ndo maana bei kubwa while kwingine bei ni ndogo, ukweli game mliman city wana over price ili kurudisha rent wanayolipia as rent ya m city ni kubwa kuliko ya k koo, also wanaamini watanzania hatujui price sasa wanatupiga,

Nimebahatika kuingia kwenye electronics showroom nyingi dunian esp asia and uk, kiukweli vitu ni cheap, juzi tu nilimnunulia mtoto ps3 kwa usd 299 at a sony showroom in mumbai wakati mliman citu game wanauza 1.3m sasa unataka kusema za mliman city ni original while za sony store mumbai fake?

Wabongo tupo exposed nowdays internet and kutembea dunian kunatufungua macho, kila kitu sasa hivi tunafanya research kabla ya kununua as hata usipofika store za majuu but google inatupa bei za kuuzwa dunian, so tunakadiria kodi,shipping cost and profit ndo tunajua tunune kwa bei gani! But ni ufisadi kuniuzia kitu cha usd 400 or 500 kwa usd 900 or 100 unataka kusema shipping cost and tax ndo zimefikisha hiyo bei?

We are exposed a lot to the world through dstv, internet and so on, na tunatembea vile vile we huoni siku hizi ndege zinajaa ukiwa unaenda majuu, zaman ukipanda ndege ya majuu from dar seat nyingi zilikuwa tupu as watu wamezubaa but siku hizi mara nyingi flight zinaondoka full as wabongo wameamka wanatembea kuiona dunia...
 
Kaka nakupinga hoja yako kwamba game wanauza original ndo maana bei kubwa while kwingine bei ni ndogo, ukweli game mliman city wana over price ili kurudisha rent wanayolipia as rent ya m city ni kubwa kuliko ya k koo, also wanaamini watanzania hatujui price sasa wanatupiga,

Nimebahatika kuingia kwenye electronics showroom nyingi dunian esp asia and uk, kiukweli vitu ni cheap, juzi tu nilimnunulia mtoto ps3 kwa usd 299 at a sony showroom in mumbai wakati mliman citu game wanauza 1.3m sasa unataka kusema za mliman city ni original while za sony store mumbai fake?

Wabongo tupo exposed nowdays internet and kutembea dunian kunatufungua macho, kila kitu sasa hivi tunafanya research kabla ya kununua as hata usipofika store za majuu but google inatupa bei za kuuzwa dunian, so tunakadiria kodi,shipping cost and profit ndo tunajua tunune kwa bei gani! But ni ufisadi kuniuzia kitu cha usd 400 or 500 kwa usd 900 or 100 unataka kusema shipping cost and tax ndo zimefikisha hiyo bei?

We are exposed a lot to the world through dstv, internet and so on, na tunatembea vile vile we huoni siku hizi ndege zinajaa ukiwa unaenda majuu, zaman ukipanda ndege ya majuu from dar seat nyingi zilikuwa tupu as watu wamezubaa but siku hizi jaribu uone ndo utajua wabongo wameamka...

Kwanza kuhusu game sijasema kama vitu vyao ni original au sio, mimi navoamini game wanauza ghali ila kumaintain status ya high class shop, na wanaonunu game sio kuwa kkoo hawakjui ila wanapenda kupata status ya kununua game,

Pili, kununua game moja india huwezi kucompare na mtu anaeleta game 200 tu nchini ngoja nikuvunjie gharama kidogo

Ticket ya ndege( go and return)
Hotel na kula huko mda wote
Cost za kufunga mzigo na kuupeleka bandarini
Cost za kusafirisha na maagent wa kukupakilia na kukutolea
Insurance ya huo mzigo ukipotea kwenye meli
Kodi ya mzigo
Godown la kuhifadhi mzigo
Loss ya kubadilika kwa Exchange rate
Marketing and sales cost

hiyo ni juu juu tu, sijaweka operation cost za kurun office, sasa hizo zote ziingie kwenye bei ya kuuzi plus profit upate hapo hapo unafikiri utauza bei gani?

Ujue ukienda nje ukanunua kitu sio sawa na mtu aneenda nje specifically kuingiza mzigo
 
I shut up my mouth, thank you and go ahead
 
Kiukweli mtu kama unafanya hizi business kihalali hupati kitu kabisaaa, kama huchakachui TRA, na kuuza vitu feki unaweza ukajikuta unaangukia pua!:eek2:
 
Mkuu lala ulipoongelea TRA nkakumbuka machungu kuna gari mimi nilipewa tuu ulaya enzi izo nakamua sasa naja tz wakanigonga kodi na uwezo sikuwa nao nkawaachia maana gari lenyewe nilipewa kama zawadi
Kwa huu uzushi wa tra na kukomoana kwao uku ndo maana huwa sinaga moyo wa kulipa kodi
ni mara mia niikwepe kodi at any cost kuliko kuilipa maana its fully mis used
 
Back
Top Bottom