Mzigo jamani mzigo huu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Mzigo jamani mzigo huu, kuubeba wameubeba wengi wa mwisho sasa umemshinda eti anataka anipasie umemzidi uzito, eti safari imebakia fupi! Nimeshtuka mzigo huu ushakuwa mzito hata hatua moja kwenda nao taabu, Jamani mzigo huu mzigo hasaa nifanyeje???
 
I am INSURED by the MAFIA mob, You hit me, We hit you...:israel:
:whoo::whoo::whoo::whoo:
 
Hii thread nzito kwa vilaza thus why haichangiwi hehehe

Nibora kukaa kimya uonyeshe hekima kuliko kuongea sana ukaonyesha upumbavu wako, mh ndugu pengine watu hawajaelewa kitendawili ndo maana wamedoji. Hata mi sijaelewa japo sio kilaza teh teh teh.
 
aliyeandika mwenyewe kilaza hajui kaandika nn ....ngoja nisepe cingii tena humu
 
Mama kama hauuwezi upe TIGO to express yourself utana huo mzigo unavyokuwa mwepesi kama pamba....
 
Nibora kukaa kimya uonyeshe hekima kuliko kuongea sana ukaonyesha upumbavu wako, mh ndugu pengine watu hawajaelewa kitendawili ndo maana wamedoji. Hata mi sijaelewa japo sio kilaza teh teh teh.

Hivi MAMUSIA wewe si mwanamke maana ake Mama au nakosea?
 
Mzigo jamani mzigo huu, kuubeba wameubeba wengi wa mwisho sasa umemshinda eti anataka anipasie umemzidi uzito, eti safari imebakia fupi! Nimeshtuka mzigo huu ushakuwa mzito hata hatua moja kwenda nao taabu, Jamani mzigo huu mzigo hasaa nifanyeje???

Jikongoje bibie, maana hapo in DA CHEST inahitaji uende muhimbili kuna tenda ya kunyonyesha watoto, utaona utakavyokuwa mwepesi huo mzigo wako...
 
Back
Top Bottom