Elections 2010 mzee wa walaka wa wakatoliki yuko wapi?

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
Wakuu Sijamsikia Yule mzee wa walaka wa wakatoliki Kingunge ngombale Mwiru. Baada ya kuwepo kwenye kampeni za kule kusini sijamsikia tena kulikoni? au maji ya shingo?
 
Aliyoyaona bungeni wakati EL anasulubiwa hana hamu tena! Kwani kampeni hizi inaweza kuwa zamu yake! Pili Urais ni suala la kifamilia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom