MZEE WA UPAKO: daktari anayegoma ni sawa na muuaji wa albino

Kwa nini asiseme serikali ambayo ndiyo yenye dhamana na afya ya wananchi ndo wauaji, au amepofushwa macho na jinsi inavyomlinda aendelee kukusanya sadaka kwa maskini ili aishi maisha ya kifahari. Huo upako wake wa kujisifia akawadanganye hao wasiojua neno. Kwenye maandiko hatusomi Yesu akijisifia kama huyu anayejiita mzee wa upako.
 
Hivi hawa madaktari si wanakula kiapo hawa! Au kiapo chao hakiwaruhusu kufanya kazi ktk hali ngumu? Me nadhani taaluma ya udaktari imeingiliwa na mambo ya kisiasa, na hii ni hatari kwa taifa! Hebu tuangalie mfano huu, "ghafla tu kumetokea ugonjwa wa mlipuko na makamanda kadhaa wamekumbwa na huo ugonjwa! (nawakusudia viongozi wa upinzani wanaopigana kuikomboa nchi kutoka....) wakati huo madaktari wako ktk mgomo", je hali hapo itakuwaje? Hamuoni kama tunafanya jokes kwenye mambo ya msingi?
Mkuu hujakosea. Nawashangaa sana wanaoshabikia mgomo. Kwnza ni ukweli kuwa madaktari wanalipwa vizuri kuliko kada nyingine zote (mbali na wanaolipwa Special Scales kama TRA nk.). Hebu walinganishe na walimu, wahasibu na wanasheria nk. bado madaktari wako juu kwahyo sio kweli kuwa hawalipwi vizuri tuache siasa...na kama ni ugumu wa kazi zao kila mmoja anakubali kuwa wanastahili kuendelea kuangaliwa zaidi.. Hata serekali hilo ilishalikubali...Tuache siasa sasa hivi ikitokea ajali na ndg zako wamo bndani wakapelekwa hospitali wakakosa huduma ndipo utakapoona ubaya wa mgomo wa madaktari. Huu ni uuwaji, ni kinyume cha kiapo na haikubaliki..wewe If at all wangekuwa Genuine na mgomo wao ungeleta maana ikiwa wangegoma mara baada ya kupitishwa kwa budget na kubaini kuwa hakuna nyongeza ya mshahara na sio kutafuta hoja kwa kupitia kuondolewa kwa madaktari wa intern.
 
Mkuu hujakosea. Nawashangaa sana wanaoshabikia mgomo. Kwnza ni ukweli kuwa madaktari wanalipwa vizuri kuliko kada nyingine zote (mbali na wanaolipwa Special Scales kama TRA nk.). Hebu walinganishe na walimu, wahasibu na wanasheria nk. bado madaktari wako juu kwahyo sio kweli kuwa hawalipwi vizuri tuache siasa...na kama ni ugumu wa kazi zao kila mmoja anakubali kuwa wanastahili kuendelea kuangaliwa zaidi.. Hata serekali hilo ilishalikubali...Tuache siasa sasa hivi ikitokea ajali na ndg zako wamo bndani wakapelekwa hospitali wakakosa huduma ndipo utakapoona ubaya wa mgomo wa madaktari. Huu ni uuwaji, ni kinyume cha kiapo na haikubaliki..wewe

If at all wangekuwa Genuone na mgomo wao ungeleta maana ikiwa wangegoma mara baada ya kupitishwa kwa budget na kubaini kuwa hakuna nyongeza ya mshahara na sio kutafuta hoja kwa kupitia kuondolewa kwa madaktari wa intern.


Huo mshahara mkubwa ni sh ngapi?. Hapa hoja sio kumlinganisha daktari na mwalimu. hoja ni masilahi bora kama mwalimu anajua yake ni duni pia aanze mikakati ya kudai masilahi bora..
 
YEAH, JUST LIKE YOUR AVATAR
Avatar yangu inaingiaje hapa? stick to the topic
kumbuka kitu kimoja, an oppressed society or person siku zote reactions zao si za kawaida, mpe huyo mchungaji stethoscope akatibu basi
Ad hominem, stick with hoja tafadhali.
TO ME MUUAJI NI MTU KAMA PINDA ANAYEDHANI UNAWEZA KUCHEZEA MADAKTARI KAMA UVCCM.............. THERE IS NO PLACE IN THE WORLD WATU WANADHARAU DOCTORS
Ila madaktari wanaeza kuchezea maisha ya wagonjwa tena maskini, si ndio?
 
Nenda katawadhe uende masjid na kasuruali kako njiwa na makobazi. Sio lazima uchangie kila uzi.
Nimetawadha kama ilivyo tawadha Musa na Yesu, kisha nikaswali ! Wewe mara ya mwisho kushukuru ni lini !? ,mchambia makaratasi !
 
Sikusudii kulumbana na Mzee wa upako, ila nadhani Mzee amekua so brief katika mada yake. Pia inategemea mzee anawaangalia madaktari kutoka kona gani. kutoka katika kona ya serikali yuko sawa, lakini kutoka katika kona ya mgaa gaa ambaye kanuni ya maisha yake jasho lake limpe riziki yake ya kila siku, Serikali ndo sawa na muuaji wa albino! Udaktari ni proffesion. Mtu anakaa darasani miaka 6-7. Siasa sio proffesion ndo maana tunashuhudia waganga wa jkienyeji wakifanya siasa. LAKINI WANALIPWA SAWAAAAA?????????????????????
 
Hivi hawa madaktari si wanakula kiapo hawa! Au kiapo chao hakiwaruhusu kufanya kazi ktk hali ngumu? Me nadhani taaluma ya udaktari imeingiliwa na mambo ya kisiasa, na hii ni hatari kwa taifa! Hebu tuangalie mfano huu, "ghafla tu kumetokea ugonjwa wa mlipuko na makamanda kadhaa wamekumbwa na huo ugonjwa! (nawakusudia viongozi wa upinzani wanaopigana kuikomboa nchi kutoka....) wakati huo madaktari wako ktk mgomo", je hali hapo itakuwaje? Hamuoni kama tunafanya jokes kwenye mambo ya msingi?
hawakula kiapo cha kuwa oppressed na kukaa kimya wakati social in-justice is out of control
 
Yeye si anao Upako aende akawaombee hao wagonjwa hukohuko hospitali wapone, nchi iokoe pesa za madawa, kulipa madaktari n.k... Failure do so yeye mwenyewe tapeli tu.
 
Nimetawadha kama ilivyo tawadha Musa na Yesu, kisha nikaswali ! Wewe mara ya mwisho kushukuru ni lini !? ,mchambia makaratasi !
Hitler na Darwin hawakukosea, kuna watu (kama wewe, sadly) with zeroor less socio-economic value to this planet, DNA zenu zinatakiwa kupotezwa.
 
anafikiri vizuri sana! Ila ni kwa kutumia m*k*l*o. Mimi nafikiri na yeye ni mwizi tu kwa kazi anayoifanya kwani inafanana na ile ya kamari ya "cheusi chekundu". kwani hamoni anavyojitajirisha!? Anajipendekeza na kutafuta umaarufu kwa serikali. Anguko lake laja kam kwa wenzake; mf. Kakobe.
 
Huyu mchungaji nahisi kama hana jipya, umaarufu unapungua na sasa anatafuta kung'ang'ania kileleni mwa umaarufu kwa kujiingiza kwenye mambo ya siasa.
 
Back
Top Bottom