Mzee wa upako: CCM ya Kikwete ni mbaya kuliko rais Gaddafi

pamoja na hayo yote ya mzee wa upako,lakini tunajifunza nini kwa wana siasa wetu kuwatumia viongozi wa dini,kiasi cha kusemekana kuwa wako kwenye mitandano ya wanasiasa.na hasa wanapohusishwa na mbio za uraisi 2015.
Ikumbukwe wanasiasa hawa wanatoka chama tawala.kuna nini hapo cha kujifunza na kikaweza kuiokoa nchi hii
 
Mkuu ulikuwa hujamjua tu, Alishapoteza muelekeo siku nyingi kama yule mwenzake wa round about ya kuelekea chuo kikuu cha mlimani.

Ukiacha ushabiki huwezi kumlinganisha yule wa round about ya chuo na mzee wa upako, lini uliwahi kusikia amekuwa ajent wa serikali na kukubaliana na ujinga wa ccm, aliyepoteza dira ni yule anae miliki bank kanisani na kutoza watu riba kwa kutumia pesa za sadaka
 
Hapa hamna cha mzee wa Upako bali mzee wa mipasho na upatu ambaye anamtumia Mungu kuganga njaa yake. Siku hizi viongozi wengi wa dini ni mafisadi wa kawaida wanaotumiwa na mafisadi kama nepi kufutia uchafu wao kama afanyavyo fisadi Lowassa. Matapeli wengi siku hizi wako miskitini na kwenye siasa. Kimsingi hii tunayoshuhudia ni ndoa ya matapeli wawili-wanasiasa uchwara na viongozi mbwamwitu wa dini. Hamkuona ndoa baina ya Jakaya Kikwete na shehe tapeli Yahya Hussein aliyekuwa akimtumia kuwatisha wapinzani wake wa ndani na nje ya chama chake?
Go to hell mzee wa Upako. Go with all of your colleagues that are all stashed in Lowassa's purse. What you think is a boon will end up becoming a bane.
 
Mzee wa upako amejitokeza hadharani na kuishambulia CCM na viongozi wake,

  • Amesema maendeleo ya CCM ndani ya miaka 50 ni sawa yapo mbali sana na kuyafananisha na mtu mzima kuvaa nepi.
  • Amesema CCM imekuwa inalindwa na vombo vya dola na usalama wa taifa ndio unaohusika na kuiweka madarakani!
  • Amesema bila watu wa usalama wa taifa mtu hawazi kushinda!

Source : Gazeti Nyakati leo

Miezi iliyopita mzee wa upako alihubili kanisani kwake akisema kuwa viongozi wa juu CCM wana viroboto kichani na kwamba wasipobadilika muda mfupi ujao atawaroga!

Watafiti wa mambo ya kisiasa wanasema mzee wa upako amekuwa kampeni manaja wa rais kikwete katika uchaguzi wa mwaka 2010 lakini baada ya dhana ya kujivua gamba yeye alimshauli kikwete asifanye hivyo lakini hawakukubaliana.

Kutokana na mgogoro huo mzee wa upako akaamua kumuunga mkono Lowassa na sasa yupo kambi ya Lowassa. Kambi ya Lowassa inamhusu askof Thomas Laizer, Askof Mgullu Kilimba, askofu Mokiwa na wengine

Mpaka sasa Lowassa amefanikiwa kupata mtandao ndani ya makanisa kupitia viongozi hawa wa dini.

Ziara za Lowassa makanisani zinaendelea na wiki hii alipanga kwenda mkoa wa Mara lakini wana CCM wamepiga kelele na ziara yake kuahirisha ambapo itaendeshwa na mh. Kabaka .

Ukweli ni kwamba baadhi ya wachungaji wanapokea pesa za anasiasa kwa maslahi ya uchaguzi 2015.

Maskofu wengne nao,kutwa kufikiri kwa MASABURI!!hii ni dhambi mbaya sana kwa viongozi wa dini kushiriki siasa za matope/maji taka za moja kwa moja,kwani siku zote huwa na mwisho usiokuwa mwema kwa mustakabari wa nchi yetu!
Viongozi wa dini wanapaswa kutuliza TAARABU zao chini na kuwajenga watu kiroho.HUYU jamaa na MAASKOFU WENGINE WAPUMBAVU,wanafikiri kila mtu anapoenda kanisani kwao,basi ni pro-CDM....!!!!
 
Mzee wa upako amejitokeza hadharani na kuishambulia CCM na viongozi wake,

  • Amesema maendeleo ya CCM ndani ya miaka 50 ni sawa yapo mbali sana na kuyafananisha na mtu mzima kuvaa nepi.
  • Amesema CCM imekuwa inalindwa na vombo vya dola na usalama wa taifa ndio unaohusika na kuiweka madarakani!
  • Amesema bila watu wa usalama wa taifa mtu hawazi kushinda!

Source : Gazeti Nyakati leo

Miezi iliyopita mzee wa upako alihubili kanisani kwake akisema kuwa viongozi wa juu CCM wana viroboto kichani na kwamba wasipobadilika muda mfupi ujao atawaroga!

Watafiti wa mambo ya kisiasa wanasema mzee wa upako amekuwa kampeni manaja wa rais kikwete katika uchaguzi wa mwaka 2010 lakini baada ya dhana ya kujivua gamba yeye alimshauli kikwete asifanye hivyo lakini hawakukubaliana.

Kutokana na mgogoro huo mzee wa upako akaamua kumuunga mkono Lowassa na sasa yupo kambi ya Lowassa. Kambi ya Lowassa inamhusu askof Thomas Laizer, Askof Mgullu Kilimba, askofu Mokiwa na wengine

Mpaka sasa Lowassa amefanikiwa kupata mtandao ndani ya makanisa kupitia viongozi hawa wa dini.

Ziara za Lowassa makanisani zinaendelea na wiki hii alipanga kwenda mkoa wa Mara lakini wana CCM wamepiga kelele na ziara yake kuahirisha ambapo itaendeshwa na mh. Kabaka .

Ukweli ni kwamba baadhi ya wachungaji wanapokea pesa za anasiasa kwa maslahi ya uchaguzi 2015.

Hayo ni mambo ya kwaida tu kwani watanzania wote hawapo makanisani.

Muacheni aendelee na kampeni zake hilo yeye ndio kaona kwake ni sahihi,

Raisi wa tanzania hachaguliwa kanisani. Ingekuwa hivyo kikwete asingepata kura nyingi mikoa yenye wakristo, mbona kipindi cha pili cha uchaguzi wa mkapa waislamu waliambiwa wamchague lipumba lakini bado mkapa alishinda.

Tufahamu kuwa raisi wa tanzania hachaguliwi kanisani bali kwa kura za watanzania wote.

Inawezekana lowasa anajifunza mambo ya imani ili awe askofu.

Maana hata nigeria kwa tb joshua tumemuona akisali,

Tumuche afanye ibada maana kasemwa sana. Tukikumbuka sauli alikuwa mbaya kuliko lowasa na alitubu na Mungu kumtumia sana.

Je tunaamini mungu anaweza kumsamehe lowasa?
 
Mzee wa upako amejitokeza hadharani na kuishambulia CCM na viongozi wake,
  • Amesema maendeleo ya CCM ndani ya miaka 50 ni sawa yapo mbali sana na kuyafananisha na mtu mzima kuvaa nepi.
  • Amesema CCM imekuwa inalindwa na vombo vya dola na usalama wa taifa ndio unaohusika na kuiweka madarakani!
  • Amesema bila watu wa usalama wa taifa mtu hawazi kushinda!
Source : Gazeti Nyakati leo

Miezi iliyopita mzee wa upako alihubili kanisani kwake akisema kuwa viongozi wa juu CCM wana viroboto kichani na kwamba wasipobadilika muda mfupi ujao atawaroga!

Watafiti wa mambo ya kisiasa wanasema mzee wa upako amekuwa kampeni manaja wa rais kikwete katika uchaguzi wa mwaka 2010 lakini baada ya dhana ya kujivua gamba yeye alimshauli kikwete asifanye hivyo lakini hawakukubaliana.

Kutokana na mgogoro huo mzee wa upako akaamua kumuunga mkono Lowassa na sasa yupo kambi ya Lowassa. Kambi ya Lowassa inamhusu askof Thomas Laizer, Askof Mgullu Kilimba, askofu Mokiwa na wengine

Mpaka sasa Lowassa amefanikiwa kupata mtandao ndani ya makanisa kupitia viongozi hawa wa dini.

Ziara za Lowassa makanisani zinaendelea na wiki hii alipanga kwenda mkoa wa Mara lakini wana CCM wamepiga kelele na ziara yake kuahirisha ambapo itaendeshwa na mh. Kabaka .

Ukweli ni kwamba baadhi ya wachungaji wanapokea pesa za anasiasa kwa maslahi ya uchaguzi 2015.

Atambue kwamba waumini ni kundi ambalo linatakiwa kujengwa katika misingi ya kuheshimu Mamlaka zikiwemo na taasisi zake kama vyombo vya ulinzi. Kuhusisha Usalama wa Taifa na mambo ya siasa ni dhahiri waumini watashindwa kumuamini anachokisema. Kama ameshakamatwa na MAFISADI yeye angeendelea kuiponda CCM kwa sababu ndiko alikoelekezwa kuua na akaachana na kukashfu vyombo vya ulinzi.
 
pamoja na hayo yote ya mzee wa upako,lakini tunajifunza nini kwa wana siasa wetu kuwatumia viongozi wa dini,kiasi cha kusemekana kuwa wako kwenye mitandano ya wanasiasa.na hasa wanapohusishwa na mbio za uraisi 2015.
Ikumbukwe wanasiasa hawa wanatoka chama tawala.kuna nini hapo cha kujifunza na kikaweza kuiokoa nchi hii

Kanzu mpya , Shehe yule yule. Wewe unataka kuniambia mtu anahama chama eti kwa sababu tu amebwagwa kura za maoni? unategemea nini huko aendako? Mtu anaacha kazi ya kanisa anakwenda kuwa mwanasiasa unategemea nini?
 
Hivi na Askof anaweza Kuloga, kweli hizi ndo zile nyakati za mwisho, mwenye masikio na askie!

Hapa sioni cha kujadili hapa, Crap!
 
Jamani viongozi wa dini nia watu ambao tunawaamini sna sisi waumini lakini siku izi tunanza kuwa na wasiwasi nao , si ndio hawahawa waliokutana jangwani mwaka 2005 na kutuambia kikwete ni chaguo la mungu, wao wanatufundisha utakatifu wa mungu na sisi tunaamini kuwa mungu awezi kukosea je uyu mungu walietuhubilia mwaka 2005 leo amegeuka na kuwa muongo na kumfanya kikwete kuwa chaguo la shetani na sio mungu,
tujihadhari na viongozi wetu wa dini wakati mwingine wanatupotosha kwa maslahi yao wenyewe.
 
Watu wenine bwana, yaani umehamia kwenye siasa, Hii inatuonesha kuwa hilo lako si kanisa, na nyie waumini wakanisa hilo angalieni msije fanywa kama wafuasi wa kibwetere.
 
Ukiacha ushabiki huwezi kumlinganisha yule wa round about ya chuo na mzee wa upako, lini uliwahi kusikia amekuwa ajent wa serikali na kukubaliana na ujinga wa ccm, aliyepoteza dira ni yule anae miliki bank kanisani na kutoza watu riba kwa kutumia pesa za sadaka

Yaaaaaah its true....Yule wa round about ya chuo ana misimamo thabiti kabisa...na kama tunasema kupoteza Dira basi yeye siku nyingi alishapoteza vision ya kutokuona mabaya ya CCM na TISS yake...Kwani alianza siku nyingi sana kuwakosoa hawa jamaa na ninadhani hata G.E iliyopita walitofautiana sana.
 
mzee wa upako umesha kamua ngombe wangapi situnajua unafuga ngombe ili upate maziwa hata wewe ulishavaanepi ndio mana ukaitaja wewe endelea na ngombe wako ili unywe maziwa umesha watumia ac na namba ya m pesa endelea kula vichwa vyako
 
Mzee wa upako amejitokeza hadharani na kuishambulia CCM na viongozi wake,

  • Amesema maendeleo ya CCM ndani ya miaka 50 ni sawa yapo mbali sana na kuyafananisha na mtu mzima kuvaa nepi.
  • Amesema CCM imekuwa inalindwa na vombo vya dola na usalama wa taifa ndio unaohusika na kuiweka madarakani!
  • Amesema bila watu wa usalama wa taifa mtu hawazi kushinda!

Source : Gazeti Nyakati leo

Miezi iliyopita mzee wa upako alihubili kanisani kwake akisema kuwa viongozi wa juu CCM wana viroboto kichani na kwamba wasipobadilika muda mfupi ujao atawaroga!

Watafiti wa mambo ya kisiasa wanasema mzee wa upako amekuwa kampeni manaja wa rais kikwete katika uchaguzi wa mwaka 2010 lakini baada ya dhana ya kujivua gamba yeye alimshauli kikwete asifanye hivyo lakini hawakukubaliana.

Kutokana na mgogoro huo mzee wa upako akaamua kumuunga mkono Lowassa na sasa yupo kambi ya Lowassa. Kambi ya Lowassa inamhusu askof Thomas Laizer, Askof Mgullu Kilimba, askofu Mokiwa na wengine

Mpaka sasa Lowassa amefanikiwa kupata mtandao ndani ya makanisa kupitia viongozi hawa wa dini.

Ziara za Lowassa makanisani zinaendelea na wiki hii alipanga kwenda mkoa wa Mara lakini wana CCM wamepiga kelele na ziara yake kuahirisha ambapo itaendeshwa na mh. Kabaka .

Ukweli ni kwamba baadhi ya wachungaji wanapokea pesa za anasiasa kwa maslahi ya uchaguzi 2015.

Hata Yuda Iskariote alikuwa moja wa mitume kumi na mbili wa Yesu na bado hata baada ya kusaliti hakuweza kubadili mission ya Yesu ya kuleta wokovu bali alisaidia katika kuikamilisha kwa haraka na uhakika zaidi...hao inabidi wawepo ili mission iwe accomplished...Mungu ni roho naye huabudiwa katika roho na kweli; haangali jina la mtu wala sura yake bali roho na neno lake; acha wajifurahishe na waone Mungu atakavyowashangaza...
 
mzee wa upako kanyimwa ubunge sasa anaanza kumgeuka swahiba wake JK
MZEE WA UPAKO furukuta wewe ni kiongozi wangu wa kidini ILA KWENYE SIASA SIKUAMINI HATA KIDOGO
 
Back
Top Bottom