Mzee wa upako: CCM ya Kikwete ni mbaya kuliko rais Gaddafi

. . . Tumpate wapi Kiongozi wa dhati wa kulirudishia taifa hili heshima? Na pia tumpate wapi Askofu mwenye akili na wasifu mzuri wa kum suport kiongozi huyo? Mzee wa upako na Mh Lowasa ..Tadhali, kama hamtajali .. Kaeni CHINI!!!!
 
Hakuna kilichosalimika. Hata magazeti yanayotakiwa kuhubiri masuala ya kiimani nayo yameingia kwenye mnada uliowapelekea kupakatwa na mafisadi. Kama imewezekana kwa wakubwa zao, kishindikane nini kwenye vyombo vya habari wanavyoviendesha?

Mkuu hatuwezi wote tukawa na Mtizamo unaofanana
 
Wanajf. Nimefuatilia chanzo cha mch lusekelo kujiita mzee wa upako!!

Kanisa hilo lilikuwa tawi la askofu mwasota, na mwasota ndiye aliye kabidhiwa kumulea lusekelo kutoka mbeya.

Mama yake na lusekelo alimuona mwanaye kuwa mtundu sana kiasi cha kupitiliza kuvuta bangi .

Mama yake lusekelo alimuomba mwasota amulee lusekelo katika maadili ya kanisa na mwasota akakubali wito huo na kuondoka naye hadi dsm ambapo walikuwa wanafanya huduma eneo la makuburi.

Mwasota alimufundisha lusekelo kusoma , akafanikiwa lakini hajui kuandika hadi sasa .

Yeye ni msomaji wa bible tu wala hajui kuandika!!!!

Baada ya kujifunza kusoma na kuanza na kukemea mapepo ndipo mwasota akapanua huduma na kufungua kituo cha kibangu.

Chini ya huduma ya mwasota, watu walianza kumiminika katika kanisa lake na kukusanya sadaka nyingi!!!

Lusekelo alipo ona fedha inaingia nyingi akaamua kumupindua askofu mwasota na akaanza kuwambia waumini kuwa yeye ana nguvu ya upako kuliko askofu mwasota!!!!

Katika mapinduzi hayo alipora sadaka zote na na kubadili jina!!!
Akiwa hapo kibangu alianza kuhubili kuwa yeye anaupako kuliko askofu mwasoto na baadaye akajitangaza kuwa hakuna anaye weza kumzidi upako tanzania yote na hivyo kujiita mzee wa upako.

Miaka ya 2007 alikwenda uk katika mikakati yake na kufanikisha kupata mataili 250 ambayo alikuwa anaingiza kwa njia za kukwepa kodi!!!

Alipokamatwa , alijitetea , lakini wakamsamehe kuhofia udini lakini watu wa ccm wakampa adhabu ya kumisifu rais kikwete kila mara ili asifuatilie.

Hivyo urafiki wake na kikwete ni ndoa ya mkeka!!!!!

Sasa ameona amechoka na sasa kugeuka na kuwa mpinzani kwani kila akimpigia kampeni kikwete alikuwa hapewi fedha , sasa akimsaidia lowasa anapewa !!
 
Fitna Hizo yaani kwa Sababu kamchana Mkulu ha ha haa
 
cjamuelewa mzee wa upako anasema viongozi wa ccm wasipobadilika atawaloga? kumbe ni mchawi au???????? simuelewi
 
SIKU HIYO MZEE WA UPKO ALOSEMA HIVI

Alianza kama utani, akikemea tabia yawatznzania kupenda misaada katika kujenga makanisa badala ya kutoa sadaka ilimakanisa yajengwe.
Baadae akasema ana mtoto mdogo anaitwa Elshadai ana mwaka mmoja akauliza miaka30 ijayo ataikuta Tanzania ipo salama?

Mwishowe akasema CCM na Serikalio ni Chama cha washenzi na wamejaa ushenzi.Hatuwezi kuongozwa na wahuni waliojaa viroboto kichwani. Akasema ni kwa ninindege ya jeshi ije uwanja wa ndege usiku ibebe wanyama alafu kina Pinda wamekaakwenye nafasi zao bila kuwekwa ndani. Amesema Pinda na serikali nzima wanapaswakukaa pembeni.
Amesema atawaroga na hawaogopi. Atawaroga kwa sababu CCM na serikali imejaawashenzi, wapumbavu.

Akasema nchi imejaa rushwa na ndio maana watu wa Zanzibar wamekufa. Amesemahata rais kutoa pole ni unafiki tu kwa sababu waliozembea wote walipaswakuwekwa ndani.
Haogopi mtu na ameshangaa ni kwa nini CCM hiyo hiyo imwite Rostam Gamba, Rostamaachane na siasa uchwara alafu Rostam huyo huyo ampigie debe mgombea Igunga,Rostam ana midomo ningapi? Amesema sisi watanzania tumerogwa na CCM kwakuwa siowazima.
Anasema hakatai kuna maendeleo lakini maendeleo hayalingani na raslimali.Anasema Nepi ni nguo lakini akivaa mtu mzima si ni kituko? Sasa Tanzania imevaanepi. Anasema hapigi siasa kwakuwa jambo hilo linagusa maslahi ya watu.

Amewaagiza watu wa usalama wa taifa waliopo kanisani wakawaambie viongozi waokuwa wasipojirekebisha ndani ya siku saba atawaroga. Amekasirishwa sana nakuuzwa kwa wanyama hai na kuzama kwa meli Zanzibar. Anasema CCM ni chamakilichoiharibu Tanzania.
Nyumba walizouziana za serikali wazirudishe, wasiandike urithi kwa watoto wao.Amewaagiza wanajeshi kuwa anaapa kuwa uamuzi wa kuuza nyumba ulikuwa uamuzi wakishetani na wajiandae ipo siku zitarudi.
Wakati wote akizungumza hayo watu wote walikuwepo ndani ya kanisa walikuwawanalipuka kwa kushangiklia. Anasema nchi hii ni kama mwanamke asiye namwenyewe anayeingiliwa kwa zamu na kila mwanaume

ccm itaondoka madarakani pale kosa la kukichanganya chama hicho na TISS litakaposahihishwa
 
Kwa kweli nchi hii ni ya kusifiwa na hasa JK. Watu hawa wana uhuru wa kuongea lolote kutokana na uhuru waliopewa na serikali yetu. Ndo maana mwendawazimu yeyote hata huyu aliyejivika uaskofu anaweza kuongea lolote, hasa wakati huu ambao mdudu ufisadi na ukosefu wa maadili kama kutakasa mafisadi na kuuza mihadarati vimejipenyeza katika nyumba za ibada. Wacha atumikie mabwana waliomkodi, lakini sisi tunaendelea kujenga nchi, siyo hao wanaotapeli na kuwaweka utumwani watanzania wanaodhani kwamba hawa kweli ni watumishi wa Mungu.

Mbopo,
Uhuru hautolewi na serikali yeyote ile. Uhuru ni fundamental human right. Unapominywa ndipo yanapotokea madudu kama yale tunayoshuhudia Syria hivi sasa. Narudia tena, uhuru hautolewi na serikali. Kazi ya serikali ni kulinda uhuru huo.
 
Naona sasa Lusekelo ameanza kuamka, kwa leo amenifurahisha. mnaochangia hapa jamvini wote kama ni wazalendo na nchi hii kubalini kuwa maendeleo yetu kwa miaka 50 ni sawa na mtu mzima aliyevaa nepi. kwa nini hampendi ukweli. Je si kweli kuwa usalama wa taifa ndio wanaiweka CCM madarakani, je kwa uozo uliopo si kweli kuwa viongozi hawa wamejaa viroboto. mnataka ukweli gani zaidi ya huo? Halafu muwe wakweli nchi hii haina kitu kama usalama wa taifa ila ni usalama wa CCM. hilo ndilo jina sahihi.
 
lowassa bado anafaa kuwa raisi wa tanzania. na atafanikiwa. siye tutabaki kupost huku Jf tu na kushawishi watu ambao hawafiki hata asilimia moja ya watanzania
 
Na muheshimu Mzee wa Upako katika hili kwa kuwa sio la kibibilia nachelea kusema, UMEANZA KUPOTEZA MUELEKEO. Angalia ulipodondokea ukatubu imetupasa kutii mamlaka zilizoweka dunia hata kama ziliingia kwa njia isiyo sahihi kwani hata Isaka alipata baraka kwa njia isiyo sahihi
Ni hapo ninapo anza kuwa na wasiasi sana na huyo mungu wa vitabuni hasa mungu wawayahudi.
 
nikumbusheni kipi ni kibaya kuchanganya siasa na dini au kuchanganya dini na siasa?
kwa maana hapo huwa wananiacha gizani.
Sasa mpaka utauweka wapi? Mambo hayo ni kama viungo vya mwili mmoja, utautenganishaje mkono na mguu wa mtu huyohuyo?
 
Mzee wa upako amejitokeza hadharani na kuishambulia CCM na viongozi wake,

  • Amesema maendeleo ya CCM ndani ya miaka 50 ni sawa yapo mbali sana na kuyafananisha na mtu mzima kuvaa nepi.
  • Amesema CCM imekuwa inalindwa na vombo vya dola na usalama wa taifa ndio unaohusika na kuiweka madarakani!
  • Amesema bila watu wa usalama wa taifa mtu hawazi kushinda!

Source : Gazeti Nyakati leo

Miezi iliyopita mzee wa upako alihubili kanisani kwake akisema kuwa viongozi wa juu CCM wana viroboto kichani na kwamba wasipobadilika muda mfupi ujao atawaroga!

Watafiti wa mambo ya kisiasa wanasema mzee wa upako amekuwa kampeni manaja wa rais kikwete katika uchaguzi wa mwaka 2010 lakini baada ya dhana ya kujivua gamba yeye alimshauli kikwete asifanye hivyo lakini hawakukubaliana.

Kutokana na mgogoro huo mzee wa upako akaamua kumuunga mkono Lowassa na sasa yupo kambi ya Lowassa. Kambi ya Lowassa inamhusu askof Thomas Laizer, Askof Mgullu Kilimba, askofu Mokiwa na wengine

Mpaka sasa Lowassa amefanikiwa kupata mtandao ndani ya makanisa kupitia viongozi hawa wa dini.

Ziara za Lowassa makanisani zinaendelea na wiki hii alipanga kwenda mkoa wa Mara lakini wana CCM wamepiga kelele na ziara yake kuahirisha ambapo itaendeshwa na mh. Kabaka .

Ukweli ni kwamba baadhi ya wachungaji wanapokea pesa za anasiasa kwa maslahi ya uchaguzi 2015.

Huyu jamaa aendelee kuwadanganya waumini wake pale Ubungo tu,watanzania wengine tuna akili zetu....
 
Maaskofu wengine bwana!

Well, ana uhuru wa kutoa maoni yake lakini sidhani presentation ya hivi inastahili kuwakilishwa na ASKOFU.

iwakilishwe na kibwetere mkuu??hao ndio waliotuchagulia na kusema jamaa ametoka kwa Mungu leo kabana ashuuru wa makanis
wamedai katoka kwa shetani loh...nilisema siku moja nchi itaamuliwa na viongozi wa dini ni nchi ya laana na muda wake kuanza kuchapana kama libya si mrefu na hii ndio inaelekea huko..hyu bana aliniacha hoi siku nikiwa chachi yake akaita watu wa kutoa sadaka nilipofika napitia kwa mtu anaangalia ni ngapi alipoona buku mbili akaniambia niende nisubiri kidogo..nahisi walioniona walishanga nilishuka nikaenda kwenye kiiti nikachukua baibo nikaanza wakanifwata viongozi wake nikawambia amani ya bwana iwe nanyi wakaniacha waliponiona na geuza prado changu cha mkopo wakanisimamisha nikwapandishia tinted nikaanza ..anyway labda sikujua procedure zao za sadaka
 
Japo watu wengi wanasema msela ni mnafiki lakini huwa anaongea ukweli mtu unapokuwa mshenzi lazima hata hao unaodhani ni rafiki zako watakuchana tu...mi siwezi kuingilia kazi anayoifanya lusekero maana wote tunasubiri hukumu si ajabu upanga ukampitia yeye,mimi au yule.lakini panapo sitaili ukweli lazima useme ASKOF UKO SAWA KABISA.
 
Back
Top Bottom