Mzee wa upako atangaza uponyaji wa magonjwa sugu kwa kikombe.

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,683
8,830
Mwinjilisti maarufu Anthony Lusekelo a.k.a Mzee wa Upako ametangaza kuanza kutoa kikombe kama Mnyakyusa mwenzie Ambilikile Mwasapile afanyavyo kule Loliondo.
Tiba yake hiyo itaanza rasmi kutolewa kanisani kwake siku ya Jumapili, wote mnakaribishwa na kikombe ni bure, huna haja ya kubeba pesa yoyote
 
Ila sadaka tutatoa tena kwa mafungu, haya wale wenye elfu kumi kumi kikapu kileee, elfu tano tano hapa, wenye elfu moja na mia tano tano kikapu kile na wale wenye chenji chenji kikapu kile pale pembeni. Haaaaleluyaaaaaa!
 
This is terrible! Where are we going? Kikombe! Kikombe! Kikombe! kila sehemu. Tuwe chonjo watanzania. Turudi kwenye neno la Mungu maana ndio kweli na ndilo litatuweka huru.
 
tehtehtehteh! baada ya kuona wateja wote wanakwenda kwa babu sasa anaamua kwenda na stail ya babu!!
 
BoraView attachment 1273857
FB_IMG_15748216080318137.jpeg
 
Tunapewa kikonbe kitupu au ndani ya kikombe kuna kitu?
Mwinjilisti maarufu Anthony Lusekelo a.k.a Mzee wa Upako ametangaza kuanza kutoa kikombe kama Mnyakyusa mwenzie Ambilikile Mwasapile afanyavyo kule Loliondo.
Tiba yake hiyo itaanza rasmi kutolewa kanisani kwake siku ya Jumapili, wote mnakaribishwa na kikombe ni bure, huna haja ya kubeba pesa yoyote
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom