Mzee wa upako,Anthony lusekero amrithi sheikh yahya (ikulu)??

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
kupitia katika vipindi vyake vinavyorushwa na chanel ten television,mara kadhaa anaonyeshwa akiwa na press conference.
Miongoni mwa yanayonifanya kujiuliza swali hili ni pale anapojitwika utabiri mbalimbali ikiwemo wa mvua na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni jijini dsm.huku akiahidi kuzuia mvua kubwa zilizotarajiwa kuendelea kunyesha nchini.(kwa mujibu wa idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini)
La pili ni pale anapoongelea masuala ya siasa nchini akisema watu wasiandamane kudai haki zao,hata kama ni haki yao kikatiba kwani eti kwa kufanya hivyo kutakuwa na uvunjifu wa amani.
Sasa basi kulingana na staili yake hii mpya liyoibuka nayo ndio ninapouliza JE AMEMRITHI RASMI MAREHEMU SHEIKH YAHYA(R.I.P).??
 
Jibu ni hapana,huyu jamaa anataka kujifananisha na TB Joshua,unajua hawa jamaa huwa wana tabia ya kuigana hivi.

Kwa hiyo anafanya hivi kujiaminisha kwa wale wanaomwamini kuwa naye ana uweze wa kutabiri mambo fulani.
 
Alikua swahiba mkubwa wa sheikh yahya so hakuna ubaya kumrithi swahiba wako kama mlikua mmeshibana!
 
Mbona ni kweli Mvua zilitoweka.iwe kwa kwa nguvu Za Giza au nguvu Za mungu alichosema ndicho kimetokea
 
Mropokaji huyo, soon utamsikia akitetea haki za MASHOGA
kupitia katika vipindi vyake vinavyorushwa na chanel ten television,mara kadhaa anaonyeshwa akiwa na press conference.
Miongoni mwa yanayonifanya kujiuliza swali hili ni pale anapojitwika utabiri mbalimbali ikiwemo wa mvua na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni jijini dsm.huku akiahidi kuzuia mvua kubwa zilizotarajiwa kuendelea kunyesha nchini.(kwa mujibu wa idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini)
La pili ni pale anapoongelea masuala ya siasa nchini akisema watu wasiandamane kudai haki zao,hata kama ni haki yao kikatiba kwani eti kwa kufanya hivyo kutakuwa na uvunjifu wa amani.
Sasa basi kulingana na staili yake hii mpya liyoibuka nayo ndio ninapouliza JE AMEMRITHI RASMI MAREHEMU SHEIKH YAHYA(R.I.P).??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom