Mzee wa Upako anatumika kisiasa?

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Nimeangalia kupitia channel ten mkutano wa Bw. Antony Lusekelo a.k.a Mzee wa Upako akiongea na waandishi wa habari juu ya mgomo wa madaktari, jamaa anaonekana kuitetea sana serikali na kuita Madaktari ni wauaji na kila aina ya majina machafu.,anapinga uanaharakati akidai ni uchanga wa fikra eti nchi haiwezi kuendeshwa na kelele za wanaharakati.,anasema kwamba madai ya Madaktari hayana tofauti na madai ya nyongeza ya posho za wabunge.,eti mbona wananchi hawapazi sauti zao kutaka madaktari wasiongezwe mishahara lakini wanagomea posho za wabunge.,akamalizia kwa kusema anaomba Mungu asiugue maana hataki kutibiwa na "wauaji" ambao hawana tofauti na wauaji wa Albino.

Mimi nadhani huyu jamaa aidha anatafuta cheap popularity au anatumiwa na Magamba au anajipendekeza kwa watawala...Ni mtazamo yangu tu.
 
Hata mimi nimemsikia mkuu,naptita tuu,si unajua ni mtu wa mungu?""
 
kenge ni kenge tu, hawezi kuwa Mamba!
Upako na Siasa wapi na wapi??
naona sadaka zimepungua!
 
Yeye si anao upako ningemuona ana akili na mzalendo kwa taifa kama angezunguka kwenye mahospitaki na kuwaombea hao wagonjwa, ili kuokoa gharama za madawa na mishahara ya madokta znazoikabili za taifa. Failure to do so yeye ni TAPELI tu..
 
Yeye si anao upako ningemuona ana akili na mzalendo kwa taifa kama angezunguka kwenye mahospitaki na kuwaombea hao wagonjwa, ili kuokoa gharama za madawa na mishahara ya madokta znazoikabili za taifa. Failure to do so yeye ni TAPELI tu..

dah umenifurahsha na post yako maan ni ukweli tu mwana umeumwaga..mambo ya mobile tu ila unastahili like..
 
Hata mimi nimemuona, kusema ukweli he has a point, ila ana over do!. Na kadri anavyo over do, ndio anavyozidi kujionyesha how empty his upstairs is!.

Nimemkubali aliovyo na ma comfi na guts!.
 
Hata mimi nimemuona, kusema ukweli he has a point, ila ana over do!. Na kadri anavyo over do, ndio anavyozidi kujionyesha how empty his upstairs is!.

Nimemkubali aliovyo na ma comfi na guts!.

Mkuu Pasco,
heshima kwako....
Bandiko lako ni zuri ila uko too emotional.
Kumbuka na yeye Lusekelo ni Mtanzania kama wewe yupo huru kutoa maoni yake. Hayo ni maoni yake, tuyaheshimu.
 
Elimu yake wakuu je?kama kuna mtu anayo aigwage apo. Inawezekaka ndo mana hajielewi.
 
Hanalolote huyo ni kimbora tuu now anafanya juhudi za kujisafisha na kujipendekeza kwa magamba maana ni wiki chache 2 aliwatusi.
 
hata waandishi wa habari walimuuliza kwanini asiende mnh kuwaombea wagonjwa, akakataa na kusema ni mashetani na wauaji wako huko HAENDI hahahaaa
TAPELI
 
Mimi naomba niongee jambo moja, dini na siasa ni vitu viwili tofauti. Huyu mh, hana upako, mtu mwenye hofu ya mungu huwezi kuwaita wenzako wauwaji, yeye kanisani kwake anaubaguzi mkubwa, kwani iliakuombee mwisho wa ibada lazima uwe ns elfu kumi mkononi, na mkaguzi wake hadi aione ndiyo upande kwenye madhabau akuwekee mikono. Hiyo siyo haki. Huduma hile inabidi atoe bule, otherwise atuambie kainunua nigeria. Na alikuwa swahiba wa shehk yahaya, naona anainyemelea kiaina ile nafasi ya utabiri aliyo kuwa anaifanya pale magogoni. Huyo ni longolongo. Kama kweli yeye anaupako! Aende muhimbili akawaombee wale wagonjwa wanao kufa kwakukosa msaada wa madaktari. Mwanasiasa wa dini huyu.
 
Back
Top Bottom