Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
Professor Shivji kachemsha. Ampelekee ujamaa wake mjamaa mwenzake, falsafa zake zimepitwa na wakati.
Nani kazipitisha?
Professor Shivji kachemsha. Ampelekee ujamaa wake mjamaa mwenzake, falsafa zake zimepitwa na wakati.
huyo lusekelo naye ni gamba. hawa ni wale wachungaji matumbo mbele wanatumiwa na magamba.
hawa wachungaji wa uchochoroni wanatabu sana.
My hairs!
Hivi amewahi kuisoma katiba huyu mchungaji!
Hawa ndio wale wanaenjoy mazingira wanayoandaliwa na waumini na fedha za sadaka, wanachojua wao ni kuwa nchi hii ni ya maziwa na asali!
lusekelo ni nani? yule anayetaka sadaka ktk tv kwa njia ya m.pesa? hv ana uelewa gani juu ya maswala ya katiba?
Lusekero wewe fukuza mashetani ndani ya mioyo ya wanakondoo; lakini uchambuzi wa mambo ya Siasa na Uchumi waachie wenyewe walibobea kaka yangu. upeo na karama anagawa mwenyezi sasa wewe umepewa hiyo na wengine wamepewa nyinginezo...
Hana sifs za kumpinga Prof SHIVJI maana hata istoria yake haifahamiki katika mchango wa taifa,siyo kila kiongozi wa dini anamaono juu ya taifa la msingi ni kumpuuza na kusifu jitihada za mzee shvji ambaye siku zote analitakia taifa hili maendeleo
Anapalilia ombi lake la kutambuliwa kama akina Mhashamu Pengo anaposafiri etinaye ahesabiwe kama VIP asikaguliwe uwanja wa ndege. yeye anaona KUTOKUKAGULIWA ni la maana sana. sijui anataka kuficha nini?huyo lusekelo naye ni gamba. hawa ni wale wachungaji matumbo mbele wanatumiwa na magamba.
hawa wachungaji wa uchochoroni wanatabu sana.
Prof Isa Shivji yuko sahihi, Mchg ama hajui asemalo au ametumwa na ccm ya JK.
Wewe ni mwanamke uliyelaaniwa kabla yahujazaliwa!Professor Shivji kachemsha. Ampelekee ujamaa wake mjamaa mwenzake, falsafa zake zimepitwa na wakati.
Mzee wa Upako aka Mch Antony Lusekelo amesema kwa kuwa Rais Kikwete amesha saini mswaada wa katiba mpya kinachotakiwa sasa ni kuaminiana tu hakuna haja ya kuupinga!.Amewataka wananch na wadau mbalimbali kujitokeza na kuunga mkono Mswaada huo kwa kuchangia mawazo.Amesema Katiba iliyopo sasa haina makosa mengi ya kurekebisha! Source :gzt Mwananch leo
Huyu jamaa kingereza tu kinamsumbua sasa ana ubavu gani wa kufanya analysis ya muswaada?yeye aendelee na uchambuzi wa mambo ya kiroho na siasa awaachie wenyewe
Nimesikia mzee wa Upako akikemea siasa za Chuki ndani ya CCM wakati yeye alijitangaza kuwa Kampeni manaja wa Jk 2010.Hata hivyo yeye Mzee wa Upako anachuki kubwa na Askof Mwasata katibu mkuu PCT.Askof Mwasota ndiye aliye mchukua mzee wa Upako Mby baada ya maombi ya mama yake .Mwasota alimfundisha Mzee wa upako kozi ya Uchungaji na kufungua tawi la Kibangu.Baada ya kupata sadaka nyingi Mch.Lusekelo akampindua Askof Mwasota na kujiita Mzee wa upako na kusajili upya.Hadi leo Mzee wa Upako haelewani na Askof Mwasota.Mwaka 2010 Mzee Upako akiwa kampenia Jk alifanya njama na kumuweka ndani Askof Mwasota kwa kisingizio kuwa amemuibia Tsh20m, Kwa kutuma majambazi.RPC alituma watu wake na kufanya uchunguzi ikabainika kuwa ni chuki
Za kidini na Madaraka yalitokana yalitokana