Mzee wa Upako aishukia serikali

Au umepotoshwa au umepotosha wewe.

Hakuna Dhehebu ambalo halikuwa na muasisi na yote yamesimama kwenye nguzo za hao waasisi.

Hakuna dhehebu lililoanza na likawa na jengo lake kubwa la kifahari siku hiyo hiyo.

Hata hayo majengo unayoyaona mazuri ya makanisa unayoshabikia yako mijini zaidi lakini vijijini majengo wanayotumia waamini wao ni duni kama vile vibanda vya kuku wa kienyeji.

Kwa sababu hiyo muasisi akishaanzisha hata akifa Mungu aliyempaka mafuta afi. Ndio sababu madhehebu yote haya pamoja na lako bado yapo na mmejibebea misifa.[/QUOTE]

wee mwehu hebu tafadhali tutolee hizi pumba zako hapa...
 
Duh amani inaletwa na mungu mwenyewe wewe umeanza kuhubiri juzi juzi tu ila amani tanzania ipo miaka yote , Mzee wa upako unatakiwa kujenga taasisi imara ambayo itakuwezesha kuonekana imara kama walivyofanya walutheri na wakatoliki vimginevyo utaendelea kupiga ukelele mimi huwa nafuatilia maombezi yake sana mwaka juzi alikuwa akimshambulia kakobe sana kwa kitendo chake cha kuwakataza waumini wake kujipendezesha hiyo ilikuwa ni baada ya kakobe kumbeza mzee wa upako kwa kuendesha maombi ya kuleta utajiri hivyo anaweza kuona kuwa wao bado hawajakomaa kuweza kuaminiwa wanavyotaka kwani hata wenyewe hawaheshimiani.

Hata ukianzisha leo benki hauwezi kupewa nafasi sawa na benki kongwe zilizo

what the hell is mzee wa upako?? au ni mmoja kati ya vichaa wengi wenye air time kwenye tv zetu za bongo zilizojaa uhuni na takataka zote??
 
tafadhali rekebisha kauli yako akuna aliyeokoka ambaye amechanganyikiwa pls omba radhi kwa hilo

wooote mmechanganyikiwa kama na wewe ni mmoja wao..huwezi acha kwenda kupiga mzigo ukaenda kanisani na kufumba macho eti mzee wa upako sijui upaka akuombee upate goto...nyie wehu na ndo mnafanya nchi hii iendelee kuwa maskini..jamaa anawafanya mradi nyie eti mmekazana maombi sijui nn?? acheni wehu na chapeni kazi, mnatunyonya ala!!
 
jamani dini inatumika vibaya siku hizi!!!! sasa mama 5j, wajiombee wenyewe kwani wana upako??? si mpaka mzee mwenyewe aliyetunukiwa uwezo huo awasaidie!!!!

nani ana upako?? yule mwehu ana upako?? acheni kufuru, yule ni mfanya biashara kama barhesa, el, rostam, mengi r na wengineo..sema labda jamaa wamemzidi goto ila kwa ujanja ujanja wa kibiashara nadhani jamaa kazidi..tatizo anamtumia Mungu..hapo ndo anapoharibu..yule ni mwehu wa kutosha mi nasema
 
Mzeee wa Upako anataka Government attention na Diplomatic passport ili akibeba Unga(drugs) apite bila bughuza coz many of revival preachers of this days live the life which they don't preach and belong...Porsche cars,designer outfits,castles and warembo....I jusk keep asking myself where the hell this people get this money????
 
Mie naonaga anawanyonya waumini wake (sijui kama niko sahihi)
Kaja juzi tu lakini ni tajiri balaaa
Ila mie huwa simuamini kama ni wa YESU yule jamaa
 
Mie naonaga anawanyonya waumini wake (sijui kama niko sahihi)
Kaja juzi tu lakini ni tajiri balaaa
Ila mie huwa simuamini kama ni wa YESU yule jamaa

Sadaka baba, sadaka. Masikini hawalipi kodi lakini lazima watoe sadaka. Kanisa ni mradi ambao mapato yake hayatozwi kodi, wenye makanisa wanakula kwa niaba ya mungu. Kila ibada lazima awepo mwenyewe anaogopa asipigwe bao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom