Mzee wa upako abariki dawa ya babu

watabana waachia babu songa mbele ukweli utajulikana maadamu akuna ata mmoja alothubutu kusema aijatoka kwa mungu
 
Mimi siamini Kabisa kwamba ni Mungu anayeponya watu kupitia dawa ya Babu.....naamini ni Nguvu nyingine kabisa na Watu ya Babu si wakwanza kutokea hapa Duniani na wote walipotea bila taarifa pamoja na Huduma zao kwa bado naamini Ukweli kuhusu huduma ya babu utaamuliwa Muda tu,.........Yaani siku za babu zinahesabika sana!! Na watu watajua Wazi kwamba Yule hakuwa Mungu....na kitendo cha Mzee wa upako kubariki kinanisikitisha Zaidi kwani Huduma sahii kutoka kwa Mungu inapimwa na neno lake......na kwa mantiki hii napata wasiwasi sana kuhusu Mzee wa Upako katika Hili!!
 
Back
Top Bottom