Mzee wa Punch to be back UDSM

Katika Punch hakuwa mtu mmoja lilikuwa kundi la watu tena wengine hivi sasa wananafasi nzuri hapo Udsm na kama hiyo hali itatokea itavuruga ulaji wao, hivyo mnaoanzisha jitahidini mje na njia mpya mkitetereka kidogo tu mtajulikana na kufutiwa udahili kwenye vyuo vya serikali.
 
Mzee wa Punch inafahamika walikuwa ni watu wa Usalama wa Taifa, sasa kwa vile sasa hivi taasisi hiyo imekufa na kuwa Usalama wa Watawala haiwezi tena kutoa Puch kama zamani.
Maana succession plan yake haikuwa wazi ingawa story zake nyingi zilikuwa so accurate with needed details. Inawezekana kabisa jamaa walikuwa behind that whole thing
 
Basi ungetueleza na wewe jinsi unavyomfahamu Mzee wa Punch siyo unakataa tu bila kutoa utetezi!

Walikuwa watu wa kawaida, wasomi waliokuwa Vyuoni na waliohitimu na kuwa kwenye ajira nje ya Vyuo vikuu na Asasi kubwa za Elimu.
 
Back
Top Bottom