Mzee wa kuchabo

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Mazungumzo kati ya mama na binti yake wa miaka 8
Mtoto: mama leo Ali alinipandisha katika mpera nimchumie mapera
Mama: usikubali tena mwenzio hataki mapera alikua anakuchungulia chupi yako ukiwa juu ya mpera
Mtoto: sawa mama nimesikia hatanichungulia tena
Sikuiliyofuata
Mama:
Amina Ali alikuja tena umchumie mapera?
Mtoto: ndio mama lakini leo nimemkomoa hajaona chupi yangu kabisa
Mama: safi sana binti yangu, ulikuaje
Mtoto: alivyoniambia nipande mimi nkakimbia ndani nikavua chupi, halafu nikapanda bila chupi ili asiione chupi yangu
Mama: tobaaaaaaaa
 
Ali was so lucky / happier on that day huh huh! Fundisho: wakina mama inabidi kuwaeleza watoto wenu sababu za kuvaa chupi ni nini!!
 
Imenichekesha kweli. Kisha nimewatumia rafiki zangu nao wacheke.

Hivi ni kwa ajili ya kucheka tu kweli.... nilivua chupi kisha nikarudi.'

Kazi kwetu tuichambue post hii.
 
Hahahahaa, hii ni kama ile ya mama, mwana na mchungaji. Siku binti alipanda mwembe hakuwa amevaa chupi mchungaji kupita akaona binti hana chupi ikabidi apewe hela akanunue chupi, kufika home akamwadithia mama. Kwa akili za mama na yeye akajua akipanda bila chupi atapewa pesa zaidi kwa ajili ya chupi matokeo yake mchungaji kupita akampa kiwembe......
 
Usha anza vituko vyako ...
Usinikumbushe ile mi sijakaa mkao wa saba
hahahahaa, hii ni kama ile ya mama, mwana na mchungaji. Siku binti alipanda mwembe hakuwa amevaa chupi mchungaji kupita akaona binti hana chupi ikabidi apewe hela akanunue chupi, kufika home akamwadithia mama. Kwa akili za mama na yeye akajua akipanda bila chupi atapewa pesa zaidi kwa ajili ya chupi matokeo yake mchungaji kupita akampa kiwembe......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom