Mzee wa Kibondei

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Baada ya kukataa kusimamishwa na Trafic Police, Mzee wa kibondei alikamatwa kwenye kizuizi cha barabara kilichofuata baada ya radio call kupigwa, mazungumzo yakawa hivi:
Trafic - Mzee mbona ulisimamiswa hukusimama?
Mzee - Mi nimanyile n'manesi kumbe n'wabwanga wa seikali!! (akimaaisha alijua ni manesi kumbe ni polisi)
 
HahahahahahahaHahahahahahaha........Hii ni story ya Kweli kabisaaa, Huyo mzee alikuwa anaishi barabara ya 20, alikuwa mzee mtata sana
 
hahahahah...hivi kwa nini trafic wanavaa white? kuna sababu maalumu?
 
Back
Top Bottom