Mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto ndani ya JF!

Mtaani wananiita Tajiri Mutoto a.k.a Mzee wa Bata maana nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu. Toka jukwaa la utambulisho mpaka Jukwaa la wakubwa wana JF, Shalom.
Ntakuwa napatikana sana jukwaa la Chit Chat, Malavidavi na Celebrity. Jukwaa la siasa hutonioana staki stresi maisha yenyewe mafupi haya ahahhaha! Pamoja wanaJF

Una mkwara mjomba...!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom