Mzee Rose!!!

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
4,641
3,675
wanaume wakiwa wazee wanaitwa Mzee Chizenga,Mzee Klorokwini,Mzee Mtambuzi lakini kwanini wanawake hawaitwi hivyo mfano Mzee Rose1980,Mzee Lizzy,Mzee Ashadii au hata Mzee Josephine03?
 
...he.!!
aaahaaahaaahaaaa... Umenichekesha mnoo.!!
..eti Mzee Lizzy.!?
 
Angalia mahakamani kuhusu wazee wa baraza wakiwepo wa kike na wa kiume wote huitwa wazee wa baraza hawatofautishwi.
 
Angalia mahakamani kuhusu wazee wa baraza wakiwepo wa kike na wa kiume wote huitwa wazee wa baraza hawatofautishwi.

hata sisiemu wanasema wapiga kura wao ni wazee,humo ndani wapo wanawake wazee pia,lakini nishawahi sikia Mzee Mbise ila sijawahi sikia Mzee Nasieku!
 
Mie nakutwanga konde kabisa ajuza limekaa kichawichawi vile

haa!haaa!haa!Blaki womani umenichekesha sana!mi mwenyewe naona lina-sound vibaya!sasa vipi nanyi kuitwa wazee?si ndio mambo ya usawa hayo!halafu ukiitwa mzee unajisikia kama mkubwa flani!ngoja siku nikikutana na tajiri wa mafuso Preta nitamsalimia shikamoo Mzee Preta!
 
hivi kuna lile neno ajuza!hawa wanawake wetu wa kileo ukiwaita ajuza si wanaweza kukupiga?mfano Smile akizeekazeeka umsalimie "shikamoo Ajuza Smile "si atakuua?
Unaweza ku subsititute ajuza na "kikongwe"?

Wenzetu wanawaita senior citizens.
 
Back
Top Bottom