Mzee Pwagu hatunaye tena

RIP MZEE RAJABU HATIA aka PWAGU. WEWE NA MAREHEMU ALI KETO aka PWAGUZI MLITUFUNDISHA NA KUTUBURUDISHA SANA KWENYE KIPINDI CHA PWAGU NA PWAGUZI ENZI HIZO RTD
 
Daa nilimuana kwenye ENDUTUNYO ya bongo movies akilalama kuwa hana pa kuishi pa maana na hana hata hela za kula na kununulia dawa, yaani life yake ilikuwa ngumu sana ki ujumla.RIP Pwagu.
 
Aliyekuwa msanii wa kaole MZEE PWAGU amefariki dunia nusu saa iliyopita katika hospital ya Amana jijini Dar es salaam. Habari kamili mtaendelea kufahamiswa....! MUNGU amlaze mahari pema peponi....!
RIP mzee Pwagu.

I liked this actor so much. Enzi hizo waliigiza vitu ukfuatilia unajifunza mambo kibao tofauti na sasa ambapo mapenzi ndio kipaumbele cha wasanii kwenye maigizo, nyimbo na kila kitu! Mpaka ladha inapotea.Unapoona unahakikisha remote control iko mkononi na unajaa mashaka na maneno pia.
 
Ulale salama Babu. Tunamshukuru MUNGU kwa kutupa wewe katika maisha yetu. Tunaamini kuwa alikuleta ili watanzania wengi waweze kukitambua kipaji chako na hakika ulifanikiwa kutupumzisha akili zetu hasa baada ya kazi na mihangaiko mizito ya maisha. Upumzike kwa amani Babu
 
Duh..huyu mzee kankumbusha mbali sana sana misiba ya nyumbani, anapokufa mtu wengi wanalia kwa mengi, kila moja siri yake.. Huyu yaonyesha kuna mengi alikukumbuka masikini..(R.I.P mzee Pwagu)


Mzee huyu alikuwa analia makaburini kwa uchungu sana
 
Katika kizazi cha Miaka ya late 70s na 80s Pwagu na Pwaguzi wa a never miss program. Walikuwa wanaburudisha na kutoa mafunzo murua. Mara nyingi miradi yao ilikwama!! Je RTD wana hizo kanda wauze katika maktaba zao. We need'em
Poleni wafiwa. Ila kwa UMMA wote kila mmoja wetu ajohoji JE WEWE UTAKUMBUKWA KWA LIPI????
 
Poleni wafiwa, Mungu awafariji na kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom