Mzee Pinda, Mh. Zitto na Ridhiwan Kikwete


Intelijensia hapa nchini haijihusishi kuzuia au kufichua ubadhirifu hapa nchini, mikataba mibovu wala rasilimali za nchi. Kilicho muhimu kwa intelijensia hasa wakuu wake, ni kuhakikisha kuwa umasikini na hali ngumu kwa wananchi inaendelea kubakia ilivyo kwa manufaa yao na familia zao.

Zitto a.k.a Nyepesi, anatumika ili alete msuguano ndani ya CDM kwani chama hicho kinaonekana ni mwiba kwa CCM. Nyepesi anajua wazi kabisa, ni haki yake kutaka kugombea urais LAKINI anatambua fika kuwa nia yake hiyo anatakiwa aiongelee wapi na lini....! Nyepesi na wanao mtuma, wanaonekana mapoyoyo ndani ya jamii kwakuwa walitegemea viongozi wa CDM watoe neno kuhusiana na nia ya Zitto, lakini......kimyaaaaaaaaaaaaaa.......! Sasa wanakuja na karata ingine ya udini....na ukanda.....matokeo yake intelijensia inajichimbia yenyewe kaburi......kwani hata wanachama wa CCM either ni wakristo au waislamu, ama wanatoka kanda ile au kanda hii...!

Nyepesi sio tu kama hafai kuwa rais kwa kukubali kutumika now, na hata akiupata huo urais anao uhitaji kuna mtu atakuwa ameshika rimot ya kum'control! Unanunua hammer wakati wapiga kura wako wanaishi kwenye nyumba za Tembe! Kuliuza au kubaki nalo, mtoa mada anahoji uwezo wa kumiliki ulipotoka kama sio rushwa/ubadhilifu?

Kibanga Msese

kigoma hakuna nyumba ya tembe au una maana gani!?
 
Zitto haaminiki tena. Ifikapo 2015 atakuwa kama mtu anayejaribu kupanda farasi wawili halafu wamefika njia panda na hapo wameamua kwenda njia tofauti. hapo ndipo lazima mtu atapasuka mnanii!!!

Mkuu uliona mbali
 
Back
Top Bottom