Mzee Pinda, Mh. Zitto na Ridhiwan Kikwete

Hapa jf tuna tatizo la watu waitwao "hate preachers", watu hawa wana chuki na yoyote bila sababu yoyote!, hivi vijisababu vya kutafuta mali zao ni scapegoat ya kujaribu ku justify chuki zao!.

Kwa watu wanaowachukia, hawana jema lolote, kwao kila jambo ni baya tuu!.

Mtu kakueleza aliletewa Hammer , Vogue na Vx katumia akauza, sasa what is a big deal!.

Mtu anakiambia gari yake na kishamba chake bado huamini, unalazimisha lazima kaficha utajiri!.

Please stop this hate!. Acheni chuki, ikizidi sana inageuka ugonjwa unaotokana na "deep rooted neurosis"!.

Pasco.

Mkuu wa kazi,kama umekubaliana na hayo yaliyoandikwa kuwa Zitto aliletewa gari ya kwanza ikamshinda kisha akaletewa gari ya pili pia likamshinda huna budi kuyafuta maneno yako uliyoyaandika kuhusu kuwa watu wanachuki. Wewe ni mmoja kati ya great thinkerz ninayekuamini sana humu jamvini. So lugha nyepesi namna hiyo kutoka kwako nashindwa kuelewa kidogo. Niweke sawa napokosea

Zitto ameshajitetea sana humu jamvini kuhusu mali alizonazo wewe ni shaidi ndio maana nakushangaa unapoandika maneno hayo.Mimi mwenyewe Zitto ashanijibu humu jamvini kuhusu mali anazotuhumiwa kuwa nazo,cha kustajabisha majibu yake yanatofautiana kwa kiwango kikubwa sana.Hapo ndipo kwenye uwalakini.Pitia threads zote alizokanusha utasadiki kuwa Zitto ni Nyoka mwenye sumu kali sana na si mfano wa kuigwa hata siku moja.

Natumia simu ila ngoja niyatafute majibu yake kwenye moja ya thread alizowahi toa majibu ili uweze fanya tathmini.
 
QUOTE=Tyad of fake Politcs;4575173]Wadau mtoa mada,amejenga hoja naomba tumjibu kwa hoja........................hapo katkat kuna kiin macho na kgugumiz cha mali..tuwe wa kweli..viongoz uwa hawako tayar kutaja mali zao,ni kama ambavyo ww mdau uwez kututajia mshahara wako wa kweli.

ZZK,RJK,MPP Waje na htaarfa za ukweli hapa

Sijaona hoja ya mtoa mada zaidi ya majungu na wivu wa kike,hivi hzo hammer mnaona gari ghali sana ?mimi nafanya kazi simple sana hapa ughaibuni mwaka 2010 nilinunua hammer H3 kwa kiasi cha 35,000 Dirham kama Ths 14m na laki 7 za bongo,model 2000 kwa hyo swala la kumiliki hammer sioni kama ndio mtu kawa tajiri,mto uzi kama wewe sio mnafiki toa ushahidi ambao unapingana na Mh zitto ili tujue kweli wewe sio mnafiki,vinginevyo wewe ni mtu mwenye wivu,wabongo kwa wivu wa kike tuko fiti,

s[/QUOTE]

Hata wewe pia jibu halina mshiko kwa maana mtoa hoja ametaja mambo mengi wewe umemnukuu kwenye hummer tu na kutaja bei yake, mbona hutaji bei ya Range Rover au Land Cruiser New model?

Hapa jf tuna tatizo la watu waitwao "hate preachers", watu hawa wana chuki na yoyote bila sababu yoyote!, hivi vijisababu vya kutafuta mali zao ni scapegoat ya kujaribu ku justify chuki zao!.

Kwa watu wanaowachukia, hawana jema lolote, kwao kila jambo ni baya tuu!.

Mtu kakueleza aliletewa Hammer , Vogue na Vx katumia akauza, sasa what is a big deal!.

Mtu anakiambia gari yake na kishamba chake bado huamini, unalazimisha lazima kaficha utajiri!.

Please stop this hate!. Acheni chuki, ikizidi sana inageuka ugonjwa unaotokana na "deep rooted neurosis"!.

Pasco.
Mkuu nilidhani uelewa wako utakuwa "above that",umenikumbushia ile kauli ya Mkapa kuwa watanzania wana wivu wa kike.Yani kiongozi wa umma,anayelipwa kwa kutumia kodi za wananchi,anafuja mali za nchi,akiulizwa eti anasema ni wivu.

Mkuu elewa uongozi ni dhamana,hao watu ni viongozi wa wananchi.Kuleta maneno kama haya ni dharau kwa wananchi.Unazungumza kama vile unaongelea wasanii ama wapiga dili za mjini?acha hizo bana,you should've know kwamba wananchi wana haki za kuuliza mali za viongozi wanaowalipa.Duh!ama waandishi mnawachukulia wanasiasa tofauti kwasababu ya "bahasha"?Ni kweli wananchi wasioweza kuchukua bahasha watakuwa na wivu...
 
Ila watanzania wenzangu zito katika nchi hii atakuwa bonge la fisadi kuliko hata huyo rizone na tumshukuru Mungu mzee mtei na wazee wa CDM waliona mbali kipindi kile cha uchaguzi for real angeshakiuwa chama hichi muda mrefu, Ni mpenda madaraka, mpenda Sifa, mbinafsi, mwenye majivuno, na fisadi aw chini chini tukumbuke maneno ya afkofu pengo kuwa wanaokemea ufisadi Ni wale ambapo hawajapata fursa hiyo kwa maana ya nafasi hizo huyo jamaa Ni hatari tuwe nae macho 2015 aside akamvuruga chaguo la watu dr.slaa
 
atawatesa sana mpaka 2015 ifike mtakuwa mmeshamsema sana.think out of the box yule ni kijana na ana matamanio kama kijana yoyote yule.hulka za kisiasa zisikuongeze kwenye masuala kama haya maana kila mara watu wanawazushia mabaya wapinzaji wao.kwa mfano mtu akimuuliza unatumia gari gani kwa sasa? hawez kumwambia ana hummer kwa sababu alishaliuza but akiulizwa historia yake ya umiliki wa magari ukoje hapo atakupa list ndefu kama alivofanya.kwa hiyo mkuu we potezea tu na fight for urself na ww upate ya kwako maana nchi hii ni ya chukua chakoapa
 
Elewen huyo kamsingizia ZITTO,kiukweli hajawahi kumiliki hummer?chuki zake ndo zinapompeleka hapo?marangap?ZITTO kajibu maswali ya kipuuzi kama hayo,watanzania tuwe makini wanapropaganda wamejipanga kwa maslahi ya mabwana zao
 
Ni mpenda madaraka, mpenda Sifa, mbinafsi, mwenye majivuno
Nilikuwa na hisia kama hizo,kumbe siko mwenyewe!Inasikitisha sana,kwasababu kiongozi akishakuwa na sifa hizo,especially hizo mbili za mwisho basi miye humtoa maanani kabisa.
 
wote hawa ni mamilionea tena kuna ujanja wanatumia ,ambapo kwenye mali zao wana-sajili kwa majina ya ndugu zao na pesa wanatunza katika account za wafanyabiashara wakubwa nchini, ila ipo siku yote yatajulikana .

Wakifa familia zao hazinufaiki na kuna watu wengi sana fedha zao zinapotelea bank ama kwa kutowashirikisha familia zao ama wanazificha kwa watu wengine, hii issue ya mali ya viongozi wa siasa ni complicated lakini hii sheria ikishuka hata kwa wananchi wa kawaida utaje mali unazomilki na umezipataje kuna raia kibao hawatachomoka hivyo wakati tunawanyooshea vidole hawa jamaa na sie tujiangalie na kujirekebisha, kinachoangaliwa sio umefisadi bilion ngapi hata wa laki kadhaa nae ni mhusika wa uhujumu hivyo watu wasijitoe kisa wanachakachua laki 2 na kuzilinganisha na mabilion ya viongozi (wot3 wanaangukia sehemu moja)
 
Hapa jf tuna tatizo la watu waitwao "hate preachers", watu hawa wana chuki na yoyote bila sababu yoyote!, hivi vijisababu vya kutafuta mali zao ni scapegoat ya kujaribu ku justify chuki zao!.

Kwa watu wanaowachukia, hawana jema lolote, kwao kila jambo ni baya tuu!.

Mtu kakueleza aliletewa Hammer , Vogue na Vx katumia akauza, sasa what is a big deal!.

Mtu anakiambia gari yake na kishamba chake bado huamini, unalazimisha lazima kaficha utajiri!.

Please stop this hate!. Acheni chuki, ikizidi sana inageuka ugonjwa unaotokana na "deep rooted neurosis"!.

Pasco.
Wanasiasa wetu na link dhaifu ya integrity yao katika political success.
Tatizo lipo.Kama kweli mleta mada yupo sahihi.Zitto alipojieleza alijileza kitoto na kibishoo.Yaani kwa staili ya kuonyesha miliki na kuvikikinai,kama utetezi wake wa kutomiliki.Logic haipo right hapa, Zitto kaingia katika kundi la wanasiasa wenye kiburi na jeuri kubwa.

wanasiasa wajinga sana.Hasa wa hivi nijinchi vyetu.Ndio maana Lile lipuuzi la UK Gordon Brown lilopigiwa kura kuwa halina mvuto na lilikuwa likimzunguka blair, lililengeshwa na jamaa wa usalama wakachelewa litoa hewami Likadhalilika katika radio an Telivision.Jamaa lilikaribiwa na mama masikini akalilia shida zake kama mwanasiasa likajidai aktk camera kuwa limepta huruma sana.Baada ya kupandisha kioo likamwita yule mama "idiot",bila kujijua kuwalenyewe ndio idiot maarufu ,likajikuta kuwa hayao maneno yalileak na hivyo kurshwa hewani ndio likaomba msamaha aktika TV.

Kama ndivyo kweli Zitto alijibu kijinga hivyo, CDM si mahali pake, kwani always atajikuta akiwa idiot na out of phase. pale linapokuja suala la kutetea wanyonge "Tena wasio wa kigoma".Km ni hivyo akiingia ktik urais ikulu itakuwa discotheque.Sasa kumtaja Mbowe kuwa alipata ride na kulipongeza gari, ni ku boost esteem tuu.

Kushobokea maisha kihivyo inaonyesha jinsi mtu anavyokuwa driven na fashion than personal life style.Inaonyesh ajinsi gani hapati amani ya roho kwa vitu vingi anavyofight so hard kuvipata.Inaonyesha jinsi gani hata hizi kelele za kuutaka urais ni sehemu tuu ya vitu anavyovitafuta kwa nguvu kubwa halafu baaday havimpi amani.Watu kama hawa wanataka kila gari walipate,kila mwanamake mzuri atembea naye, na kila mtu mwenye kuishi maisha watu wanayatazama basi naye ashindane naye ili naye , apate hiyo attention.

Zitto atapambana sana kupata kila kitu akidhani walio navyo wana furaha ila ataishia kuwa disperate looser, kama hawezi define maisha yake vizuri na kujiwekea mipaka ya vitu anavyotaka vimpe happiness.Otherwise hata wanawake atatembea nao sana ila anaweza shangaa hata wamliliao hawapo tayari olewa naye, kwa sababu nao watajua hafai kuwa father.Same in politics and other areas.Zitto atadhani watu wanamchukia ila yeye ndio hana ujasiri wa kukubali ujinga wake, hana ujasiri wa kuzikataa baadhi ya tabia anazodhani zitampatia heshima.

Atang`ang`ana sana kuchukua kila sifa ila atajikuta sifa zote alizonazo hazitoshi wanyang`anya wengine heshima.Na Heshima "respect" hawezi ipata kwa vyovyote kama hatoishi vizuri halafu mwenyezi Mungu amsogeze palipo heshima.

Si kila mtu anaweza pata Money+ Power ----->Respect... wengine wanapata respect bila hela na wengine wanapata vyote bila nguvu.Na wengine wanapamabana sana karibu na powerili waipate wakiamini itawapa respect hadi wanakufa bila respect..kabla hajadefine hao role model wake akamwuulize raila wa kenya kuhusu babake.Ndio anachofight akitimize kumuunze babake.Pia ajue hata kule kijijini kwao kuna role models wengi tuu ,Wazee wasio na kitu ila wanayajua maisha ya mjini kabla ya kurudi kijijini,ambao hawezi waona kwa upofu was fast lane lif ya dar.

Zitto akicheza hataokwenda mbalia zaidi ya kuswitch between "being famous" and "being infamous" ila si "respect person".Na hata akipata power atakosa respect na hizo satisfaction haitokuwepo na hivyo kushia kuwa desperate looser.Na desperate looser mwenye power huwa huishia ua wote aonao kuwa wanamzuia kupata respect, yaani anakuwa sadist km Ghaddafi.Sishangazwi na mapenzi yake kwa ghaddafi,kwani alikuwa na mvuto kwa naive Zitto,aliwahi ulizia bungeni kuhusu mataifa ya maghribu kuingialia Libya.Bwana mdogo hakuona ana compromise nini.
 
Mtazamo wangu binafsi tatizo sio kuwa na magari, bali uwezo wa Zitto kufanya maamuzi sahihi jambo ambalo ndilo linaigharimu nchi yetu. Duu ananunua gari kabla hajajua uwezo wake kulimudu, tena sio mara moja zaidi ya mara mbili....................?. Najaribu kufukunyua threads za siku za nyuma hasa majibu ya Zitto kuhusu hizi gari....

''Baada ya kuwa mbunge, nakumbuka April 2007 niliingiza nchini gari aina ya Hammer na nadhani nilikuwa mtu wa pili kuingiza gari hilo hapa nchini. Kaka yangu Salum anayefanya biashara ya magari ndiyo aliyeniletea na hili sikuliendesha zaidi ya wiki mbili, likanishinda. Lilikuwa la kifahari mno, nikamwambia alichukue aliuze na hela yangu anirudishie.

Nakumbuka nilikwenda nalo Dodoma nikiwa naendesha na nilikwenda na Dk. Slaa na siku moja mwenyekiti wangu Mbowe baada tu ya kuletewa tukiwa Protea Hotel iliyo karibu na Kanisa la mtakatifu Petro, alijaribu kuliendesha akaniambia ni gari zuri sana. Hili nililikataa. Mwaka 2008 nilinunua Toyota Land cruiser V8. Hili nililitumia hadi kwenye kampeni mwaka 2010 na baada ya hapo nililiuza.

Salum alipoona sina gari kwa sababu nadhani ya kujua mimi ni mbunge akaniletea tena Range Rover Vogue Sport nililitumia kidogo likanishinda kwa sababu ni la kifahari sana, sikuweza kuligharamia. Nina akaunti mbili tu moja benki ya NMB na nyingine benki ya CRDB na zote hazina fedha zaidi ya shs Mil. 15 kila moja."- Zitto Kabwe''
 
Wewe hapa unalenga kumchafua zitto, kwa taarifa yako hata uvue nguo, Zitto ni Rais 2015 hata kama sio CDM, itakuwa hata ugombea binafsi. nyie endeleeni kuimba kikasuku tu.

Nani atakayempa urahisi? Huo urahisi unampa wewe? Nani kakwambia zitto atakuwa rais? kuwa rais si rahisi kihivyo. Akifanya mchezo hata huo ubunge ataukosa.
 
atawatesa sana mpaka 2015 ifike mtakuwa mmeshamsema sana.think out of the box yule ni kijana na ana matamanio kama kijana yoyote yule.hulka za kisiasa zisikuongeze kwenye masuala kama haya maana kila mara watu wanawazushia mabaya wapinzaji wao.kwa mfano mtu akimuuliza unatumia gari gani kwa sasa? hawez kumwambia ana hummer kwa sababu alishaliuza but akiulizwa historia yake ya umiliki wa magari ukoje hapo atakupa list ndefu kama alivofanya.kwa hiyo mkuu we potezea tu na fight for urself na ww upate ya kwako maana nchi hii ni ya chukua chakoapa

Achilia mbali mambo mengine yote, kununua gari aina ya Hummer pekee yakee inakuonyesha wewe ni mtu wa aina gani na interest zako zikoje, kiongozi yoyote responsible hawezi kununua Hummer, kwani hilo gari halina matumizi yoyote ya maana zaidi ya show off, ni moja kati ya magari useless hayapatwa kutengenezwa Duniani!

Kama wao walikuwa wanapiga Blabla jitofautishe kwa kuweka Plate namba za gari wanzomiliki,Block / plot namba ya majumba wanayomiliki sio kurudia nyimbo za Kikasuku, mnaogopa nini kiweka ushahidi wa vitu hivyo! Nyie kipindi kile mnatumika kama wawezeshaji wa Mtandao si mlimzushia sana Mzee Sumaye eti anamiliki Trillion 10.
 
zitto-1.jpg

Daima huwa najuta siku ile tulitembea kwa miguu Ubungo-Jangwani na kutoa ulizi kwa
msaliti Zitto anadhani umaarufu aliulete mwenyewe. sasa vijana wanakufa hataki kuikosoa serikali
na policcm kisa na MoU na Dhaifu...
 
Wanasiasa wetu na link dhaifu ya integrity yao katika political success.
Tatizo lipo.Kama kweli mleta mada yupo sahihi.Zitto alipojieleza alijileza kitoto na kibishoo.Yaani kwa staili ya kuonyesha miliki na kuvikikinai,kama utetezi wake wa kutomiliki.Logic haipo right hapa, Zitto kaingia katika kundi la wanasiasa wenye kiburi na jeuri kubwa.

wanasiasa wajinga sana.Hasa wa hivi nijinchi vyetu.Ndio maana Lile lipuuzi la UK Gordon Brown lilopigiwa kura kuwa halina mvuto na lilikuwa likimzunguka blair, lililengeshwa na jamaa wa usalama wakachelewa litoa hewami Likadhalilika katika radio an Telivision.Jamaa lilikaribiwa na mama masikini akalilia shida zake kama mwanasiasa likajidai aktk camera kuwa limepta huruma sana.Baada ya kupandisha kioo likamwita yule mama "idiot",bila kujijua kuwalenyewe ndio idiot maarufu ,likajikuta kuwa hayao maneno yalileak na hivyo kurshwa hewani ndio likaomba msamaha aktika TV.

Kama ndivyo kweli Zitto alijibu kijinga hivyo, CDM si mahali pake, kwani always atajikuta akiwa idiot na out of phase. pale linapokuja suala la kutetea wanyonge "Tena wasio wa kigoma".Km ni hivyo akiingia ktik urais ikulu itakuwa discotheque.Sasa kumtaja Mbowe kuwa alipata ride na kulipongeza gari, ni ku boost esteem tuu.

Kushobokea maisha kihivyo inaonyesha jinsi mtu anavyokuwa driven na fashion than personal life style.Inaonyesh ajinsi gani hapati amani ya roho kwa vitu vingi anavyofight so hard kuvipata.Inaonyesha jinsi gani hata hizi kelele za kuutaka urais ni sehemu tuu ya vitu anavyovitafuta kwa nguvu kubwa halafu baaday havimpi amani.Watu kama hawa wanataka kila gari walipate,kila mwanamake mzuri atembea naye, na kila mtu mwenye kuishi maisha watu wanayatazama basi naye ashindane naye ili naye , apate hiyo attention.

Zitto atapambana sana kupata kila kitu akidhani walio navyo wana furaha ila ataishia kuwa disperate looser, kama hawezi define maisha yake vizuri na kujiwekea mipaka ya vitu anavyotaka vimpe happiness.Otherwise hata wanawake atatembea nao sana ila anaweza shangaa hata wamliliao hawapo tayari olewa naye, kwa sababu nao watajua hafai kuwa father.Same in politics and other areas.Zitto atadhani watu wanamchukia ila yeye ndio hana ujasiri wa kukubali ujinga wake, hana ujasiri wa kuzikataa baadhi ya tabia anazodhani zitampatia heshima.

Atang`ang`ana sana kuchukua kila sifa ila atajikuta sifa zote alizonazo hazitoshi wanyang`anya wengine heshima.Na Heshima "respect" hawezi ipata kwa vyovyote kama hatoishi vizuri halafu mwenyezi Mungu amsogeze palipo heshima.

Si kila mtu anaweza pata Money+ Power ----->Respect... wengine wanapata respect bila hela na wengine wanapata vyote bila nguvu.Na wengine wanapamabana sana karibu na powerili waipate wakiamini itawapa respect hadi wanakufa bila respect..kabla hajadefine hao role model wake akamwuulize raila wa kenya kuhusu babake.Ndio anachofight akitimize kumuunze babake.Pia ajue hata kule kijijini kwao kuna role models wengi tuu ,Wazee wasio na kitu ila wanayajua maisha ya mjini kabla ya kurudi kijijini,ambao hawezi waona kwa upofu was fast lane lif ya dar.

Zitto akicheza hataokwenda mbalia zaidi ya kuswitch between "being famous" and "being infamous" ila si "respect person".Na hata akipata power atakosa respect na hizo satisfaction haitokuwepo na hivyo kushia kuwa desperate looser.Na desperate looser mwenye power huwa huishia ua wote aonao kuwa wanamzuia kupata respect, yaani anakuwa sadist km Ghaddafi.Sishangazwi na mapenzi yake kwa ghaddafi,kwani alikuwa na mvuto kwa naive Zitto,aliwahi ulizia bungeni kuhusu mataifa ya maghribu kuingialia Libya.Bwana mdogo hakuona ana compromise nini.
duh sichangii tena maana umemaliza kila kitu''wewe ni biggest great thinker'' ntakuwa sikutendei haki kama sitakupa like mbili moja ya maneno na ingine ya original safi sana.
 
Back
Top Bottom