Mzee na Kijana kabisa wa JF

Mie kuanmtu anaitwa Nguruvi3, ndo huwa namuona na mkongojo kabisa
Sijui hata kwa nini?

Watoto wajo wengi tu, wengine wana miaka 4
 
Last edited by a moderator:
Boflo wewe ni kati ya 18-22...bisha.

Mimi ni mmoja wa vibibi vya humu ndani lol.
 
Last edited by a moderator:
dah hizi ramli zimezidi hebu leo Boflo tuambie matokeo ya mechi za lao Euro yatakuwaje?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom