Mzee Mwinyimvua is no more

Du... poleni wanandugu wa mzee Mwinyimvua; ila mtoa mada jaribu kuwa na kiasi katika kuripoti mambo makubwa kama haya; suala la mambo ya ccm kuwatumia wazee kupotezea maovu ya ccm ingesound vizuri kama ungetuachia watoa maoni ndo tulisemee, hapo umeanza introduction main body hadi conclusion alone.

pia si vizuri kutoa maovu ya mtu baada ya kufa hasa kwa msiba mbichi kama huu; otherwise thank u 4 a report.
 
duuuuuuh safu y mkulu imepanguliwa!! sasa jk cdm si watakupiga bao??? duhh aya mambo ya kuwahi May 21, 2011 yana wenyewe na wenyewe wameshaanza kujitokeza. RIP wote waliotangulia.
 
R.i.p mzee mwinyimvua.
Ni mzee uliyekuwa huna makuu na alishiriki kubadilishana mawazo na watu wa kila rika na kila hali.
.
 
Hii siku inanini, mbona inatisha sana, naogopa kusikia na mkulu nae ame.....!
 
Inna Lillah Waina Illahi Rajoon.
“Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea,

Ee Allaah Walipe wafiwa kwa msiba huu na uwape badili yake bora kuliko huo”

“Ewe Mwenyezi Mungu msamehe Mzee mwinyimvua na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye ewe Mola wa viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake”
 
Hasara kwa chama cha magamba hasa yule jamaa anayelindwa na yahaya. Nadhani atakatisha safari yake huko Namibia
 
heei! Sheikh Yahya, John mwanjelwa now Mzee Mwinyimvua? duh! CCM IMEKWISHA, DALILI NI HZ SASA! Mungu awapumzishe mahala pema peponi!
 
kikwete+baraza+la+wazee+dar+1.jpg


Rais Kikwete kushoto mzee Athumani Mwinyimvua katikati na kulia Mzee Ruksa.

Na nyuma kule Kkobe!
 
Back
Top Bottom