MZEE Mustafa Jaffer Sabodo achangia tena M4C (CHADEMA) na ahadi zingine za miradi

Nina hakika kabisa ndugu zetu wa CCM hawaufurahii huu ukaribu wa Ndugu Sabodo na CHADEMA.
Niwashauri kuwa nao wajipange wakaombe.Hata hivyo nina wasiwasi kama watawakubaliwa ombi lao.
Kwanza, nani,miongoni mwa wana CCM, atafikiri kwenda kutafuta pesa kwake...Nina hakika kabisa Mzee anawajua MAGAMBA jinsi walivyo wafujaji ...wanaweza kuchukua pesa na kuanza kugawana allowances kibao, kuwanunulia wananchi pilau,chumvi,vitenge bila kuacha tangible results!

Halafu ina maana hapa JF hatuna watu wa CHAUSTA,NRA ama CUF!
Tungependa nao wajitokeze tushindanishe mawazo pamoja.Maana wadadavuaji2 wa CCM wanajulikana watahitimisha nini kabla hata hawajaanza kuweka utangulizi wao!
 
Nina hakika kabisa ndugu zetu wa CCM hawaufurahii huu ukaribu wa Ndugu Sabodo na CHADEMA.
Niwashauri kuwa nao wajipange wakaombe.Hata hivyo nina wasiwasi kama watawakubaliwa ombi lao.
Kwanza, nani,miongoni mwa wana CCM, atafikiri kwenda kutafuta pesa kwake...Nina hakika kabisa Mzee anawajua MAGAMBA
jinsi walivyo wafujaji ...wanaweza kuchukua pesa na kuanza kugawana allowances kibao, kuwanunulia wananchi pilau,chumvi,vitenge bila kuacha tangible results!

Halafu ina maana hapa JF hatuna watu wa CHAUSTA,NRA ama CUF!
Tungependa nao wajitokeze tushindanishe mawazo pamoja.Maana wadadavuaji2 wa CCM wanajulikana watahitimisha nini kabla hata hawajaanza kuweka utangulizi wao!

Wewe unadhani huyu mzee ana roho kama yako.

kisima_kombani_625.jpg
kisima_kombani_240.jpg

Visima hivyo 10 vyenye thamani ya Tsh milioni 75, vimetolewa na kada huyo wa muda mrefu wa Chama Cha Mapinduzi Mustapha Sabodo, katika kuchangia huduma za jamii kwa wananchi wa hali ya chini, ambapo makabidhiano yake yamefanywa na Waziri Kombani.
 
Ndugu, sasa kama kuna maeneo ya CCM yanapata mgawo,iweje mnalalamika akichangia CHADEMA!!
Nadhani mkamwombe pesa kwa ajili ya kuendeshea operesheni ya KUVUA MAGAMBA...Yawezekana imesimama kwa kukosa pesa!!!!!!
 
Anasema ccm imekufa ""uliona wapi ex president anakwenda kwenye small chaguzi""
 
Ndugu, sasa kama kuna maeneo ya CCM yanapata mgawo,iweje mnalalamika akichangia CHADEMA!!
Nadhani mkamwombe pesa kwa ajili ya kuendeshea operesheni ya KUVUA MAGAMBA...Yawezekana imesimama kwa kukosa pesa!!!!!!
Usimsemee Mzee Sabodo unaona sasa umeumbuka.
 
Ndugu, sasa kama kuna maeneo ya CCM yanapata mgawo,iweje mnalalamika akichangia CHADEMA!!
Nadhani mkamwombe pesa kwa ajili ya kuendeshea operesheni ya KUVUA MAGAMBA...Yawezekana imesimama kwa kukosa pesa!!!!!!

Mimi naona tatizo hapa ni kwamba CCM wamepewa pesa wakazifanyia kazi lakini mbona CDM sioni wakizindua visima vya SABODO?
 
huu sasa ni udharirishaji wa chama, kwanini kuna ulazima gani wa kuonekana kwenye vyombo vya habari kila anapochangia.
Tabia ya kutegemea misaada toka kwa mabepari hua sio nzuri kabisa kwani misada hiyo italipwa tena maraduf yake.
CDM Kuweni makini, umma upo nyuma yenu utumieni kujenga chama sio hii misaada toka kwa mabepar
 
Ngojeni siku atadai "breakdown" ya matumizi, mnameza chambo, ndoano, mshipi na chubwi.
 
Pro CCM roho inawauma acheni mzee Sabodo atumie pesa zale anavyotaka maana kama CCM mlishapewa pesa kibao mkazigeuza kufanyia warsha na makongamano na mkawa mnalipana na maposho lakini sasa pesa zinazotolewa zinafanya kazi iliyokusudiwa. Mimi nashauri mngekua mnakosoa na mambo ya Chama chenu
 
Kwani CCM kwasasa ananafasi gani?

umeniwahi nilitaka kuuliza hivyo hivyo...na sio huyo tu..kuna wahindi na waarabu wengi wafadhili wa ccm sa sijui hua wana nafasi gani..ccm kinawauma mzee sabodo kuifadhili cdm..kila mtu na zamu yake..wakati wenu ulishapita
 
ndugu yangu umeanza kuchanganyikiwa! Ivi nikuulize yule dada yako aliyekua india amepona?
 
Back
Top Bottom