Mzee Mtambuzi ni mnoko sana.

Mtambuzi kutwa anaandika mistari jf
hao watoto wanalelewa na mama Ngina peke yake
ndiyo maana wanamchanganya mzee wa watu, lol.

unajua Cantalisia huyu mzee amezaliwa enzi za mjerumani halafu analea watoto enzi za JK lazima atachanganya madesa tu bora akuruhusu ujichunge mwenyewe wala hata hutaleta tabu lakini anavyokubana mwisho wa siku tutalea mimba ya kuruka ukuta na ushungi.
 
Mzee Mtambuzi kumbe una binti? Can we conclude a business? She must be having a brain as her father
 
unajua Cantalisia huyu mzee amezaliwa enzi za mjerumani halafu analea watoto enzi za JK lazima atachanganya madesa tu bora akuruhusu ujichunge mwenyewe wala hata hutaleta tabu lakini anavyokubana mwisho wa siku tutalea mimba ya kuruka ukuta na ushungi.
Yani wala hujakosea swaiba Asnam,mie tena hom wala hatanona nishajihamishia kwa mme wangu Rejao.
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa mia haya mengine ni siri yangu coz wezi wengi sana humu,
Hilo nalijua mwenyewe ebo!!yule wifi yetu alokuelekeza zenji kumbe yupo arusha hajambo?
lakini kwanini unapenda kunichokoza wewe na Mtambuzi??. wa arusha yupi?
umenichekesha sana.. unaogopa wasiibe pua ya mpenzio..!! hahahaaaa....!!!.mia
 
Last edited by a moderator:
Jana usiku Cantalisia alinitext akiomba kwa vile leo ni friday mzee Mtambuzi lazima aende akapate moja moto, moja baridi kwa hiyo nitumie muda huo kumvisha hijabu Rejao tuingie ndani kwao maana mama atakuwa busy na vitoto.

Hee! kumbee, ndo maana nimeona dirisha la Cantalisia leo liko wazi muda wote. Ngoja nkamtonye Mtambuzi, avizie kwa mitaa ya jirani
 
Last edited by a moderator:
Taiga Wudu ndo nani huyu tena! mi namtaka Rejao huwa anatoa kitu kidogo anapokuja kumwiba Canta hapa home.

Fungua tv uangalie US open,ndo huyo utakayemwona,ana mihela inajaa jengo la kitega na nyingine kufura madirishani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom