Mzee Mkapa

Semenya

JF-Expert Member
Sep 5, 2009
572
51
Mzee Mkapa yuko wapi?Sijamuona katika msiba wa Mzee kawawa, kulikoni?.
 
kweli wamuache apumzike ale pensheni yake ....daaah naangalia hotuba ya mzishi ya kawawa nacheka kweli translator anachapia kishenzi...hahaaaaa kireno kazi sana...
 
Leo kajitokeza Mekutana nae katika mazishi, na tumesalimiana.
 
Mwacheni wadau apumzike. Lipumba kanifurahisha kwenye hotuba yake aliposema Kawawa alisikitishwa sana na wanasiasa wanaohamahama vyama kutafuta maslahi na vyeo, umati wote ukacheka hapo moja kwa moja ni dongo kwa Mrema
 
yuko kwake anaenjoy...ni-PM nikupe namba yake ya simu...
 
Mzee Mkapa yuko wapi?Sijamuona katika msiba wa Mzee kawawa, kulikoni?.
IMG_1511.jpg

Picture by Michuzi blog.
 
Duh! wengi wanasema ati mwacheni apumzike! Hivi Fisadi Nambari Wani apumzikeje? Alitakiwa awe jela huyu. Wabongo bwana, wezi wanapumzishwa!
 
Duh! wengi wanasema ati mwacheni apumzike! Hivi Fisadi Nambari Wani apumzikeje? Alitakiwa awe jela huyu. Wabongo bwana, wezi wanapumzishwa!

Duhhh teheee tehehee teheeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kaibe kuku uone siku ya pili jela !!
 
Back
Top Bottom