Mzee Mfinanga afariki

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Tuna habari kuwa mzee Mfinanga wa Dar-es-Salaam amefariki dunia. Ni baba mzazi wa Ayub, Mtanzania mwenzetu wa hapa Detroit pamoja na ndugu zake West Coast na wengine hapa.London na sehemu mbalimbali Bongo.

Mola ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi. Amin
 
Poleni sana wafiwa. Hayo ni mapenzi ya mungu na tumshukuru mungu kwa kila kitu.
 
poleni wafiwa kila mmoja njia ni hiyo hiyo. La muhimi ni kufanya matayarisho kwa ajili ya kifo maana kesho ni mwingine atafuata.
 
R.I.P....Ayubu Pole sana.

To Shy,...ukitaka source tuma namba ya simu utapewa text msg zinazozunguka.
 
ebwana hii imenivunja mbavu

Hatuvunjiki mbavu wakati wa taarifa za misiba. Na usidai "source" ya nani kasema.

Wafiwa poleni sana. Watoto wa marehemu Mzee Mfinanga, ndugu, jamaa na marafiki pateni nguvu katika kipindi hiki kigumu na mbeleni. Apumzike kwa amani.
 
Sote ni wa Mwenyenzi Mungu na marejeo ya wote ni kwake yeye Mwenyenzi Mungu.

Poleni wafiwa na msiba huu ni wetu sote watanzania tunakuombeni muwe na subra katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
 
Back
Top Bottom